Si ni kasahau kubeba daftari la muandiko............aiseeeeeee eeeeeeeeeee

Si ni kasahau kubeba daftari la muandiko............aiseeeeeee eeeeeeeeeee

ewaaa..hatujakitana bara barani jamani. halafu mwambie Arushaone nampigia simu hapokei au ndio amenuna?🙂🙂

ni kweli mi nawe tumetoka mbali

amesema kwa sasa hajisikii kuongea na mtu bado ana hasira
 
Last edited by a moderator:
walimu km hao siku hizi hawapo, kuwa mtemi watoto wenyewe wanakula bangi watakuvizia wakupige
 
Back
Top Bottom