Si ni kasahau kubeba daftari la muandiko............aiseeeeeee eeeeeeeeeee

Si ni kasahau kubeba daftari la muandiko............aiseeeeeee eeeeeeeeeee

Wangenyooka au wangempeleka mahakmani kwa child abuse....siku hzi maadili hakuna kabisa na ukijaribu tu ku m discipline mwanafunzi utakomaje?

hahahaha dada KOKUTONA hapo umenena yani nimejifanya kusahau halia ya sasa hakika huyo mwl kwanza angeamishiwa kijijini kabisa baada ya kulipa fidia
 
Last edited by a moderator:
hahahaha haha shem Lady doctor wala sikuchukii ila napenda kukwambia ukweli hebu jiulize Arushaone yuko wapi sasa hivi? alaf futa kauli yako sijawai kukaguliwa na mtu humu zaidi ya akanana wangu Passion Lady

mume wangu Arushaone niponae hapa.

Sory kwa kutoa siri maana uliniambia nisimuambie pacha wangu kama nimekukagua, ila nimeshindwa kuficha siri shem
 
Last edited by a moderator:
mume wangu Arushaone niponae hapa.

Sory kwa kutoa siri maana uliniambia nisimuambie pacha wangu kama nimekukagua, ila nimeshindwa kuficha siri shem

hahahaha hapo hakuna ukweli wowote sikaguliki mimi ila mumeo kakaguliwa sana humu.
 
lol! huyu mwalimu kiboko!
maskini mwenyewe ukajua leo unarudi home na michirizi ya bakora...........kumbeeeee

hahahahaha huyu Mwl alikuwa kiboko yao.
 
hivi ulitaka niolewe na nani shem?

hahahahahahahahahahahahahahah shem huyo huyo Arushaone ila ninacho kusaidia tuu ni kukupa ukweli tuu, Arushaone ni rafiki yangu lakini anapo kusaliti nahumia shem, hivi kwa nini umuachi pamoja na kumfumania? hivi wewe na Paloma mlipelekwa kwa mganga mmoja?
 
kwa nini? Na Paloma ninani kwani shem
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom