Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Unadhani kwanini hizo porn site bado zipo wazi kwa watz kuziaccess???Ni sawa na kuzuia video za musiki za kibongo ambazo hazina maadili ila ukaachia za kizungu ambazo hazina maadili zaidi!
Nadhani ni mihemko inayofanya kukurupukia mambo!!!
 
We kweli nyumbu kwahiyo ile video hawakuiona?
 
Kuna hatari ya kupigwa miaka 30!Ila kama wakiamua kila mtz apimwe,unaweza kuta thelufi ya wananchi wanaikimbia nchi!
hahaha acha basiii " wataka kusema kwamba huo mchezo ndio umezagaa kiasi hicho !!?

duh!! kuna watu hawana kinyaa ...ptuuuuh
 
mkuu huko xvideos " hizo clip zake zilikuwepo before ya hili sakata lake la kuvujisha zile clip IG ..!?
 
Kuna ambao hawapost ila wanaliwa mzigo!Ili tubaki na jamii safi,basi ni vema watanzania wote wapimwe!Iwe kama sensa,nyumba kwa nyumba,anayekutwa hana puto,ni jela!!!
Jiangalie mkuu yan mm nikainikwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…