Si kwa mapenzi haya

sasa kama ameamua mwenyewe utamkataza,,,,japo waweza mwambia pumzika will do it.........anaosha then unampakia mchepuko...hakika Sir God hakuachi....
 
Je anaosha gari kwa hiari yake au jamaa ni dictator!!

Ila saa 11:30 si mida ya mgegedo hiyo
 
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Unataka kuvunja ndoa za watu...mapenzi is just a tiny thing...utashangaa mke anapendwa sana simply kwa kuwa kila akipika anaunguza chakula!
 
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.

Hapo Upendo uko wapi?
Upendo kwenye Usafi,
Upendo kwenye Gari,
Upendo kwa Mme?
 
Waaaii kwanza hata cha asubuhi sikitaki mie. ... usingizi wa asubuhi mtamu atii. Ndomaana mahusiano yananishinda maana nikisemaga NO huwa sibembelezeki.....
Dawa yako ndogo tu
 
Mmmmnnngh!
 
nadhani mke ana hulka ya usafi tu ile ya kusafisha kila kitu kinachowahusu

Pongezi nyingi zikufikie huko uliko, nimewahi shuhudia hii. Mama anaosha gari tu hata kama siku hiyo halina safari, tena kwa roho safi kabisa, mama wengine wanaroho zao za kipekee! Woote wenye roho hizo pongezi kwenu.
 
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Itakuwa masharti aliyopewa na mganga ili limbwata ifanye kazi.
 
Mhhh et niamke alfajiri nikaoshe gari mhuuuuuu!!!!
 
Aiseeh siku1 nilirudi nmechoka nikaacha kamguu kachafu nikapumzika ndani,mida ya jioni natoka wife yupo anaosha nilijisikia vibaya sana japo sikumwambia nikasema tu pole na kazi na asanteh!
Kweli mkuu... Labda muoshe wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…