Si kila rafiki ndiye rafiki wa kweli

Si kila rafiki ndiye rafiki wa kweli

Mwangaruka


Sio Kila Rafiki anafaa kuwa Rafiki yako Maishani.
Kuna Watu ninaowajua wamefanikiwa through Friends,
na wengi ninaowafahamu Maisha yao yamebomoka kupitia hao hao Marafiki.
Nyakati hizi tunazoishi ni zile zinaitwa "FRIENDS IN BENEFIT" yaani Rafiki wa Faida.

Wengi sana bado hawajalielewa kwa umakini maana ya Neno hili.
Sio kwasababu mlisoma pamoja basi ndo anatakiwa kuwa Rafiki yako wakaribu.
Tabia ya binadamu yeyote huwa iko ndani and people are very good in pretending.

Katika Maisha haya ya Leo mtu anaweza akavaa uhusika wa kitu fulani ili tu
afaulu Mission yake kwako.Wanaume wengi na wanawake wengi waliofaulu Maishani
ni wale wenye Mahusiano Mazuri yenye Urafiki wa Karibu na Wapenzi wao.

Bado Ile agenda ya MUNGU ya wawili kuwa mmoja inafanya kazi vizuri sana mpaka Leo
kama tu utaiheshimu. Wanaume wengi tunafeli kwenye plani nyingi sana maishani kwasababu
ya kutokuwashikisha wake zetu kile kinachoendelea kwa shughuli na kazi zetu za Kila siku
ninamaanisha Biashara na mishe mishe zote zinakupatia CASH.

Instead tunawapatia mipango mingi Rafiki zetu ndo wanakuwa wanajua mengi
kuliko hata Wake zetu. Hii ni faulo kubwa sana Maishani. Na ukitakata MUNGU
abariki mausiano yenu then lazima uheshimu Mchango wa huyu Mwanamke aliyekupa.
Kwanini nasema hivyo? Kwa taarifa yako MUNGU aliweka "UFAHAMU" mwingi sana kwa
Mwanamke kuliko Mwanaume. Ila Mwanaume alipatiwa AKILI nyingi sana lakini "UFAHAMU KIDOGO"

So hivi vitu vikiwa separate mambo huwa hayaendi kwasababu tunakuwa nje ya mpango
wa MUNGU. Hata tuwadharau vipi eti kwasababu Sisi ni Wanaume, remember one thing
You're a MAN but she's also a "MAN WITH A WOMB" though we call her "WOMAN" don't
Despise her she's more the Mother of your Children,

Hivyo ni vyema ukamshirikisha mkeo kwa kila jambo, nanyi mkio single au wanandoa watarajiwa
ni vyema umshirikishe mtarajiwa wako mambo mhimu ya maisha
Karibuni kwa kuchangia na hoja zenu hapa marafiki zangu nawapenda.



Kama wote wawili mume/mke mkielewa maana halisi ya ndoa, kamwe hamuwezi kusumbuliwa na hivi vitu.
 
rafiki aliyebaki duniani.. ni pesa tu.. it can solve every problem except way to heaven..

therefore, JESUS is the solution..
 
hahah kumbe hata Eiyer umeliona eh! Hahah
might b she or he!
I think ni both me na ke sasa inasomeka hivi "meke". Hata hivyo message delivered ni kweli kabisa wengine ikitokea wametangulia mbele za haki mali zao hupotea sababu ya kutoshirikisha wake zao ni hatari sana.
 
huo mtazamo hasi kabisa juu ya wanawake ungejua wanawake ni watu wa siri sana
usingeongea haya unayoyaropoka hapa unafikiri kama sio mwanamke wewe ungetokea na kama sio mwanamke kutunza siri ya mtoto huyo ni wanani ungebwabwaja makorokocho yako hapa

Kuwa makini na mtafiti sio unaunguruma pasipo sababu yoyote hapa

Honestly speaking, wanawake asilimia kubwa sana 85.67858%;
  • Hawawezi kukaa na siri moyoni(U tell her ur plans anamwambia shosti yake naye anamwambia mwingine na mwingine. The next thing u know everybody knows!).
  • Hawana msimamo kabisa, mkikorofishana kidogo tu, she seeks to destroy u through what u've entrusted her. Iwe mali ama siri za mipango ya maendeleo. They even can turn ur own children aganist u! Yani wamekaa kirevengerevenge sana sana
  • Wako paranoid! Yani ukiwa kimya for a certain time na hakuoni anaanza kufikiria vitu vibaya mbalimbali, hata hujakaa vizuri kashaandaa mpango wa kukukomoa!
  • Jelousy imekaa sana huko na matunda yake yanajulikana.
  • Wana mioyo dhaifu, they can't handle maamuzi magumu ya kifamilia na kimaisha yanayompasa baba kufanya. Hata familia zilizolelewa na single mothers(Because they earn like men they think they run the world-suprisingly they even sing about that{can u believe?}). But hizo familia utaona tu something is missing. Kuna maamuzi mwanaume unafanya na unakaa kimya to death.
I love my wife and I tell her things. Ila kuna vingine sisemi hata iweje! Na mwanaume yeyote nnayemjua ambaye aliwahi kuthubutu hayo @ Home habari yake aliipata.
 
watu wapenda hela hutawaona tu k
wakiamka mawazo pesa wakilala mawazo pesa
angalia na hiyo pesa isijekuwa ndo adui rafiki


rafiki aliyebaki duniani.. ni pesa tu.. it can solve every problem except way to heaven..

therefore, JESUS is the solution..
 
nashukuru kwa kunisahihisha rafiki kumbe ni mwadilla
ndo mchana na asubuhi ni mwangaruka
usemayo ni kweli tupuu rafik
i

hiyo mwanga'ru'ka itakua ya kesho asubuhi..lakini ujumbe mzuri sana ..wanaume wengine huficha hata mali zao kwa wake zao,.kitokea wametanguia mbele ya haki wanaacha shida kwa familia..hakutakiwi kuwe na siri baina ya mume na mke. Lady niece
 
huo mtazamo hasi kabisa juu ya wanawake ungejua wanawake ni watu wa siri sana
usingeongea haya unayoyaropoka hapa unafikiri kama sio mwanamke wewe ungetokea na kama sio mwanamke kutunza siri ya mtoto huyo ni wanani ungebwabwaja makorokocho yako hapa

Kuwa makini na mtafiti sio unaunguruma pasipo sababu yoyote hapa

RED-
Bidada nazungumzia kukaa na siri not uwezo wa kuzaa na my gratitude toward that...I know pia bila wanaume tusingekuwepo so lets not go down that road and stick to the point ya wewe kutuambia tuwaambie kila kitu(HIi ndo mada husika)
GREEN
Sio wote tunaweza kubambikiwa watoto. Na baba ukikaa na mwanao vizuri utakuja gundua tu kuwa something is wrong. wanaobambikiwa ni baba wasio na muda na familia. Lakini mtoto akiwa karibu na wewe na ndugu zako(hasa wazazi wako) wakimuona kwa karibu lazima watasema chochote kuhusu partenity ya huyo mtoto.
We kama unabisha nenda kalale nje ya ndoa kisha mbambikie mumeo ufikiri ni rahisi kama unavyosoma kwenye HADITHI!
 
Honestly speaking, wanawake asilimia kubwa sana 85.67858%;


  • Hawawezi kukaa na siri moyoni(U tell her ur plans anamwambia shosti yake naye anamwambia mwingine na mwingine. The next thing u know everybody knows!).
  • Hawana msimamo kabisa, mkikorofishana kidogo tu, she seeks to destroy u through what you have entrusted her. Iwe mali ama siri za mipango ya maendeleo. They even can turn ur own children aganist you! Yani wamekaa kirevengerevenge sana sana
  • Wako paranoid! Yani ukiwa kimya for a certain time na hakuoni anaanza kufikiria vitu vibaya mbalimbali, hata hujakaa vizuri kashaandaa mpango wa kukukomoa!
  • Jelousy imekaa sana huko na matunda yake yanajulikana.
  • Wana mioyo dhaifu, they can't handle maamuzi magumu ya kifamilia na kimaisha yanayompasa baba kufanya. Hata familia zilizolelewa na single mothers(Because they earn like men they think they run the world-suprisingly they even sing about that{can you believe?}). But hizo familia utaona tu something is missing. Kuna maamuzi mwanaume unafanya na unakaa kimya to death.
I love my wife and I tell her things. Ila kuna vingine sisemi hata iweje! Na mwanaume yeyote nnayemjua ambaye aliwahi kuthubutu hayo @ Home habari yake aliipata.

Sawa kabisa; na anayekuwa tofauti na hao 80% wanawake wenzake wanamsema eti ANA TABIA KAMA ZA WANAUME...
 
oky umemaliza

RED-
Bidada nazungumzia kukaa na siri not uwezo wa kuzaa na my gratitude toward that...I know pia bila wanaume tusingekuwepo so lets not go down that road and stick to the point ya wewe kutuambia tuwaambie kila kitu(HIi ndo mada husika)
GREEN
Sio wote tunaweza kubambikiwa watoto. Na baba ukikaa na mwanao vizuri utakuja gundua tu kuwa something is wrong. wanaobambikiwa ni baba wasio na muda na familia. Lakini mtoto akiwa karibu na wewe na ndugu zako(hasa wazazi wako) wakimuona kwa karibu lazima watasema chochote kuhusu partenity ya huyo mtoto.
We kama unabisha nenda kalale nje ya ndoa kisha mbambikie mumeo ufikiri ni rahisi kama unavyosoma kwenye HADITHI!
 
nakutafuta kwa kher tu na wala sio schwari
kwanini unakubaliana na huyo mwenzio hapo juu?

Unanitafuta kwa kheri au kwa shari???? mbona nipo tu na niko tayari kwa lolote lile .....
 
Back
Top Bottom