Yaani mpaka unamchumbia...unamuoa...hujajua tu kwamba ana dalili za kupenda kukutawala mpaka unawekewa limbwata upo upo tu,mi nikiona dalili tu za kutaka kunitawala RED CARD HAPO HAPO,sifugi majanga!
Ndugu hapo hakuna limbwata unalokula ila ni kule chumvini unakozamia ndiko unakobadilikia mawazo. Ndiyo maana ya kuwaacha baba na mama na kuambatana na mkeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.