Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

Kweli Tz tuna upungfu wa pilots wa ndege, nimefuatilia sana marubani wengi hapa nchini nadhani kama asilimia 70 ni wageni.
Na wakishastaafu hawa waliopo, basi itakuwa 100% ya marubani ni wazungu, Serikali hii ya CCM imeferi kila sekta, hakuna mtu binafsi amgharamie mtoto wake kusomea urubani, hilo jukumu linapaswa kubebwa na Serikali. ni vigumu mtu binafsi kusoma kozi ya mamilioni ya shilling huku akiwa hana uhakika wa ajila mara atakapohitimu.
 
Tumia pesa kama unakufa kesho tafuta hela kama unaishi milele. so ni wakati wake jamani na huyo tayari kishakuwa mtu maarufu kwenye siasa maana tayari ni mbunge. macho na vituko vyote atakavyovifanya lazima media ianike sioni tatizo la yeye kutumia pesa kwa matumizi hayo ambao hatuna uwezo huo tubaki kimya au tusugue masaburi yetu kwa nguvu zetu kwa kufanya kazi angalau siku moja tujifanyie jambo la kujipa raha ambayo ulikuwa unaitamani sana kujipatia. tuwe na wivu wa maendeleo na tusiwe na wivu wa kwenye kahawa. jamani bongo ni zaidi tuijuavyo. beyonce angekuwa bongo alivyomnunulia ndege Jay Z kwenye fathers day si mngemkashifu sana kwa kusema anatumia hela vibaya wakati ni zake?
 
Wewe vipi kwani Wachagga wana nini? Ebu nitajie Wachagga watano wanaomiliki viwanda au makampuni makubwa! Siku hizi hakuna kabila ambalo lipo nyuma wote wana pesa..limbukeni kweli wewe kuwa na Vitara au Naoh na kibanda Kimara basi unajiona tajiri.

Mimi nina kibanda, Vitara, Naoh na Kibanda Kibanda Kimara lazima unione naringa sababu mpaka hapo hata Starlet huna na nikipita unabenua midomo na kuangalia pembeni wakati mwenzio hayo ni maisha tu najiandaa kuongeza mpaka nifikie Vogue na Flat Masaki sasa sijui utanifikia lini kazi umekaa kuhesabu nina vingapi wakati mwenzio hata sina muda wa kujua unaishi mbagala ipi. FYI mwenye guta lazima amjue mwenye gari lakini mwenye gari hawezi kumjua mwenye guta au mwenzangu guta lako lina usajili TRA.
 
Bibi Bomba...lol..
 
Dada yetu Shy-Rose sasa anapokea mpunga wa millioni 17 kwa mwezi huo ni msharaha tu wa EALA MP na zaidi ya hapo anapokea laki 9 kwa siku wakati yupo kwenye vikao na vikao mda mwingine vinaendelea kwa mwezi mzima achilia mbali matrip kibao...mtajisonyaje...LOL
 
  • Thanks
Reactions: UKI

nimecheka mpaka gf wangu akahisi na chat na mwanamke mwingine duh kweli watanzania tuna wivu sanaaaa jamani sijui tukoje mpka huwa nasema labda ni binadamu woote lakini mungu kanijalia nimefika kwa jamii tofauti yaani wako tofauti kweli mtu akifanya jambo la kimaendeleo kidogo yaani wanampongeza kweli na hata kumpa ushauri zaidi ila sisi atoke kwenye miguu atembelee tu ****** kosa mtaa mzima ooh anajidai mara siku hizi hatusemi yaani naumiaga sana.
 
Ritz ni kilaza zaidi ya Marehemu lakini anajifanya mjuaje.?Usafiri huo ni Cessna Caravan na makampuni madogo ndiyo yanatumia kama Coastal Travel,zanair na mengiyo kwa safari kama bukoba-mwanza, mafia,mtwar,dodoma,mtwara na songea.
 
Ritz kuna ndege zinatitwa Cessna Caravan,kuna C208..C204 n.k!! Lakini hiyo ya Bhanji ni Pilatus12 au PC12!!Matola yupo sahihi....Shyrose yupo hapo ktk ubunge sbb ya rushwa!ni mtu wa kujionyesha!alienda kwa Ubalozi wa Kenya hata hajapishwa!!hana credibility!
 
wewe vipi kwani wachagga wana nini? Ebu nitajie wachagga watano wanaomiliki viwanda au makampuni makubwa! Siku hizi hakuna kabila ambalo lipo nyuma wote wana pesa..limbukeni kweli wewe kuwa na vitara au naoh na kibanda kimara basi unajiona tajiri.

semeni nyinyi matajiri......
 
Back
Top Bottom