Shyrose Bhanji na Handsome Boy wake wa Ukweli

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Babu.JPG
 
Anaonekana alijilazimisha tu apate reputation kwamba "mtu wa watu" but in reality inaonekana alikuwa anaona taaabu mno. angalia sura yake
 
Anaonekana alijilazimisha tu apate reputation kwamba "mtu wa watu" but in reality inaonekana alikuwa anaona taaabu mno. angalia sura yake
Haswaaaaa na ukizingatia kuwa handsome boy wake mwenyewe aliachana na mswaki tangu akiwa shule ya msingi.
 
Mzee amekamilika huyo. Hawezi kulialia hovyo hadharani kama muimba bongo fleva
 
haijatoka moyoni hiyo na mashaka mbona she is not confortable?i think she wana gain reputation kwa watanzania...tujue alimsaidia vipi mtanzania aliyemkuta katika hiyo situation.
 
am not sure kama imemtoka moyoni au she wana get something on the expense of the poor...
 
huyu mama ananichefuaga sana na mambo yake
Wivu wa kijinga, ni mambo gani ya kijinga anayokuchefuwa? namfagilia sana huyu demu i wish wa dada wengi wa kibongo wangekuwa wanaishi kwa life style yake basi Bongo ingekuwa sehemu nzuri zaidi ya kuishi.
Kudos Shyrose.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom