Shyrose Bhanji na Handsome Boy wake wa Ukweli

Shyrose Bhanji na Handsome Boy wake wa Ukweli

Anaonekana alijilazimisha tu apate reputation kwamba "mtu wa watu" but in reality inaonekana alikuwa anaona taaabu mno. angalia sura yake

aaaaaaaaaaaaaaaaa wewe bhana na wewe wazee wa siku hizi unataka mdada ajiachie ili ashikwe ziwa? ......aaaa
 
aaaaaaaaaaaaaaaaa wewe bhana na wewe wazee wa siku hizi unataka mdada ajiachie ili ashikwe ziwa? ......aaaa
Ambieree mwisho wa mwaka huo unakuja ukumbuke enda kuhesabiwa
 
Babu.JPG
Dah! Kumbe huyu dada yuko njema.Anatembelea GX?Ndo maana kale ka bwana mdogo kalitaka kujiua baada ya kupigwa chini.
 
bonge la picha hebu lipeleke kwenye jukwaa la Photographers corner.
 
Ambieree mwisho wa mwaka huo unakuja ukumbuke enda kuhesabiwa
evava mghosi...yap ndio tunakusanay nguvu sasa hivi aisee..ila hizi ajali za mabasi yetuzinanipa shida sana ..na kuunguza mafuta yako mwenyewe sio kitu cha kitoto
 
dah....ndevu za babu...ha ha ha ha....babu amefurahi kweli kweli kumshika kiuno na busu shyrose wote wako happiiiiiiiiiii
 
evava mghosi...yap ndio tunakusanay nguvu sasa hivi aisee..ila hizi ajali za mabasi yetuzinanipa shida sana ..na kuunguza mafuta yako mwenyewe sio kitu cha kitoto
..hapo sasa, maisha haya ya Mkwereee, na ukifika kule mlimani bila kuwaachia ya Dengelua hawakuelewi
 
Back
Top Bottom