tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Wewe umejuaje hayo kma hushindi nao huko gettoAngalizo ni muhimu mkuu, si unajua wivu wa mapenzi unaweza leta maafa....
Wewe umejuaje hayo kma hushindi nao huko gettoAngalizo ni muhimu mkuu, si unajua wivu wa mapenzi unaweza leta maafa....
Huyu alianza kuchafua bunge la eala na kuanza kupamvana na wenzie kqa kuvunja sheria..Inawezekana pia mavazi yake hayakuwa na nidhamu..Huyu Naye sijui anachujaga maneno kabla ya kuongea, kwa hiyo kosa la magu ni kumkata sio? Je aliyepata badala yake anasemaje kuhusu Magu? Hesabu zingine ni Plus na minus so afikirie zaidi. Yeye anamuuliza magu kama angekatwa ingekuweje je ameshawahi kujiuliza je edo alipokatwa bila huruma na rafiki yake kipenzi alijifikiriaje.
Na anaposema alikuwa anafanyakazi nzuri je ni ipi na ninani alimpa hizo credit
Mkuu umesema haswaa..Sisi wengine hatumkupigia Kura wala kampeni lakini leo ndio tunakula Bata, na bado tunampinga na kumkosoa Magu.
Shy-Rose Bhanji
Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya WanaCCM kwamba kila ninapotoa maoni yangu ya kukikosoa chama changu au serikali wamekuwa wananishambulia kuwa ni sababu ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki. Sina chuki ya kukosa ubunge na hii naisema kutoka moyoni. Siku zote nimekuwa mkweli kwamba pale panapotakiwa kukosoa sijasita kufanya hivo na pale panapotakiwa kupongeza sijasita kufanya hivo. Kwa vile ninanyanyaswa sana ni vizuri nilitolee ufafanuzi: Huo ubunge siyo kwamba nilikosa lakini ni kutokana na majungu, fitna na roho mbaya ya baadhi ya watu....vita niliyopigwa ni kubwa sana na Mungu tu ndo anajua. Ni kweli kwamba niliumia sana sana kwasababu sikujua nimemkosea nini Rais Magufuli mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote. Isitoshe kazi yangu ya ubunge niliifanya kwa kujituma na kwa moyo wangu wote. Ulikuwa huniambii kitu pale lilipotajwa jina lake...nilifunga safari mpaka mikoani kumfanyia kampeni kwa pesa zangu mfukoni siyo kwamba anipe cheo, hapana ni kwasababu nilimwamini. Na Naomba niwaulize hivi JK angemkata jina Magufuli baada ya kushinda kura za maoni ndani ya chama angejiskiaje? Hakika angeumia lakini nina imani angemsamehe kama vile mimi nilivomsamehe. Hizi ni nafasi leo zipo na kesho hazipo. Ni sawa na kuja duniani na kesho tunaondoka. Naomba sana sana msininyanyase kwasababu mnaniumiza moyo wangu
Ivi ana watoto na Mme tokea aachane na JaffaraiDada ni wakati wa kuanzisha familia sasa
Elewa mahana ya neno " kupungua" . Narudia tena matukio ya utekaji, upoteaji,kupiga risasi hadharani, raia kukimbia nchi kwatishiwa kuuwawa vimeshamiri kipindi cha magufuli.... Ukiwa mbinafsi huwezi kuliona hilo.Unasema amani na utulivu vimepungua halafu uko kwako una chart hahaha unajua maana ya amani na utuluvu kupungua? Huu wasaha wa kujadili na kuchati umeupata kama hakuna amani?
Kama Machungu ya Kukatwa najua anayajua Lowasa.Hawa akina Banji hawana lolote.Kama alipata kura nyingi Kwa rushwa kwanini asikatwe?Huyu Naye sijui anachujaga maneno kabla ya kuongea, kwa hiyo kosa la magu ni kumkata sio? Je aliyepata badala yake anasemaje kuhusu Magu? Hesabu zingine ni Plus na minus so afikirie zaidi. Yeye anamuuliza magu kama angekatwa ingekuweje je ameshawahi kujiuliza je edo alipokatwa bila huruma na rafiki yake kipenzi alijifikiriaje.
Na anaposema alikuwa anafanyakazi nzuri je ni ipi na ninani alimpa hizo credit
Ye alimpigania Magufuli siyo kutoka moyoni Ila alitegemea malipo.Waliompigania Magu ni maskini tu ambao wao hawakuwa na cha kupoteza.Naona watu wanaisoma nambaShida si kukatwa na magufuli shida yake ilikuwa ni namna alivyokuwa akiwa kwenye ubunge....alikuwa ni mtu wa skendo za ajabu ajabu tu..hata mimi ningemkata maana alikuwa analiabisha taifa...hata kama alimpigania kwa pesa yake lakini siyo tiketi ya yeye kupewa huo ubunge
Imekula kwakeMzigua90 utajisikiaje ukiwa unatoa pesa yako mifukoni ili kulihudumia shamba langu, halafu mwisho wa misukule hata punje moja ya njegere? Na ile nafasi ya usimamiaji kisima nikutimue?
Hivi Hawa nao walikuwa serious wanautaka Urais?Yuko wapi Gharibu bilal na yule wapigwe tu. Hawa nao waliumia kweli kwenye kukatwa.
Kwenye hilo kundi wapo wengi akina Mange Kimambiwote waliofanikisha kuiweka awamu hii madarakani mimi binafsi sina huruma nao hata chembe.
badala yake ninajawa na furaha sana ninapoona wanalialia kama huyu c-h-a-n-g-u!!