Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

Spider

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,635
537
1. J.Kikwete sêc school.
2. Pius Msekwa sec school,
3. Kambarage sec school,
4. Ben mkapa sec school,
5. Yusuph makamba sec school,
6. Salma Kikwete sec school,
7. Jose mungai sec school,
8. LowerSIR sec school,
9. Mizengo sec school,
10. St. Anne makinda sec school
 
Julius makamba ya pale makuburi karibu na jeshini haipo?? Haiwezekani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
uwongo mtupu kama huna cha kuandika acha

Apolonary Jaribu kuelewa undani wa Thread ya huyu Spider mleta hoja hapa ....

Kuna aina nyingi ya njia za kufikisha ujumbe / swali kwa watu / jamii ...

Swali analotaka kuuliza hapa ni Je? kwanini asilimia kubwa ya Shule zenye majina ya Viongozi wa Serikali huwa hazifanyi vizuri katika matokeo?!
.
 
Asante kwa kunielewa,hizi shule zenye majina ya viongozi hazíjiwezi kwa kweli,na ndo zilitakiwä kuwa mfano.
 
apolonary jaribu kuelewa undani wa thread ya huyu spider mleta hoja hapa ....

Kuna aina nyingi ya njia za kufikisha ujumbe / swali kwa watu / jamii ...

Swali analotaka kuuliza hapa ni je? Kwanini asilimia kubwa ya shule zenye majina ya viongozi wa serikali huwa hazifanyi vizuri katika matokeonn
.
hapana soma vizur anamaanisha shule zinazoongoza kwa ufaulu na sio kufeli>
 
Kudadadeki, mademu wa cacico sekondari wazuri jamani. Wale watoto wa St. Madame B wameumbika kichizi, utadhani kwenye interview yao wanachaguliwa wale walio jaaliwa Manyendi tu.
 
Last edited by a moderator:
1. J.Kikwete sêc school.
2. Pius Msekwa sec school,
3. Kambarage sec school,
4. Ben mkapa sec school,
5. Yusuph makamba sec school,
6. Salma Kikwete sec school,
7. Jose mungai sec school,
8. LowerSIR sec school,
9. Mizengo sec school,
10. St. Anne makinda sec school

Zile Seminary zetu za majina ya Ki-pakistani azipo..
l
 
Back
Top Bottom