Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,150
- 28,628
Sheikh Ponda Islamic Seminary..
Sio Julius, ni Yusufu Makamba, kila mwaka inakuwepo kwenye kumi bora kutoka chini.Julius makamba ya pale makuburi karibu na jeshini haipo?? Haiwezekani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mwakani nahis MULUGO HIGH SKULI ITAINGIA TATU BORA
11. Mwigulu Nchemba High School
Nyingne ni job ndugai seb school
1. J.Kikwete sêc school.
2. Pius Msekwa sec school,
3. Kambarage sec school,
4. Ben mkapa sec school,
5. Yusuph makamba sec school,
6. Salma Kikwete sec school,
7. Jose mungai sec school,
8. LowerSIR sec school,
9. Mizengo sec school,
10. St. Anne makinda sec school
hizi zimefulia mbaya dah
q.dr slaa high school
2.mbowe girls
3.halima mdee junior sec
4.zito seminary
5.mnyika vocational sec
6.lissu boys
7.sugu musical sec
8.nasari bording schools
uwongo mtupu kama huna cha kuandika acha
Mkuu,iyo ya sita hapo nasikia inaongoza kwa vurugu!nadhani vurugu zimetokana na madai yao kutoshugulikiwa kwa mda mrefu sasa.