Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

Status
Not open for further replies.
Acheni waandamane tu kwani JWTZ chini ya Wakristo watakatifu Davis Mwamunyange na Michael Samwel Ndomba wapo fit kabisa kuwaangamiza na kuwapoteza kabisa katika uso wa dunia. Itabaki historia tu ya kwamba waliwahi kuwepo Waislam Tanzania ila walikuja kuangamizwa na JWTZ. Itakuwa ni sherehe kubwa kwangu siku hiyo ya ijumaa.
 
Nilileta uzi humu ndani kuhusu Bagamoyo Sec. kuwa nako hali si shwari mambo hayahaya ya kidini lakini ukaondolewa na hivi ninavyoaandika humu tayari Bagamoyo Sec. kuanzia jana baadhi ya watoto hawalali ndani ya mabweni kwa kutishiwa kuunguzwa na wenzazo wa kiislamu. Naamini ni mkakati wa kijinga kabisa kuwashirikisha watoto wanaosoma elimu dunia kwenye haya mambo ya kigaidi (siamini uislamu wa kweli kama unakubali huu upuuzi unaofanywa na baadhi ya masheikh)

Kesho matokeo ya secondary yanatoka mnaanza malalamiko oooh, mfumo kristo unatawala wakato watoto mnawalazimisha kushiriki mambo ambayo mbele ya safari hapa duniani hayana maana yoyote.
Fanya utafiti wako vizuri halafu uanzishe thread ye details zote...hiki siyo kitu cha kupuuzia...
 
Religion is Man kind Opium. Masheikh wamefanikiwa kuformat ubongo wa waumini wao na kuwabrain wash na kuwafeed Ujinga. hapa mtapoteza muda wenu bure.

Kuna watu wanaheshimika kweli hapa JF kama Mkandara lakini wakishavuta hii religion opium yao wote wanageuka wehu na ubongo haupewi tena fursa ya kuhoji na kudadisi.
 
This is very stupid sir!

Siku moja ya kazi inapoharibika si jambo la kusherekea, hiyo ni disaster. Haya maisha yetu ya kudhania kuwa waajiri wanaanzisha biashara zao ili sisi tulipwe mishahara ni janga. Badala ya kuhofia uzalishaji utalala, wewe unafurahia kukaa nyumbani na mwisho wa mwezi unaenda kuchukua mshahara.

Nisamehe kama utachukia, lkn sina jina lingine kwa mtu mwenye mawazo kama yako zaidi ya mpumbavu. Mawazo yananichoma moyo kiasi ambacho huwezi kudhania, ndio sisi tunaolia kuwa wageni wanaajiriwa?!

Watanzania tubadilike, huyu ni mfano mchafu kabisa kwa jamii yetu. Ni vile mimi ni mtu mdogo tu, lkn leo hii ningekuweka gerezani miezi 6 bila kukufikisha mahakamani.

Tena inaelekea wewe ni sharobaro jinga kabisa kwani hata signature yako ni simu simu tu za gharama. Unafurahia teknolojia bila kuzingatia imewachukua juhudi kubwa watu kuileta kwako wewe unayewaza mabaya ili ulale nyumbani na mwisho wa mwezi ukachukue mshahara. Shame on you! Idiot.

weee waache waandamane wanaotaka kua na half day kila ijumaa hamna wasiwasi...ila ndio wajue wakenya wako njiani hivo wanakuja kutufanyia kazi zetu....hao waislam kama hawapendi yanayoendelea hapa basi waende zanzibar wakakae na waislam wenzao wawe wanavaa kanzu kila siku
 
Hawana akili hao,halafu wakifeli wanasingizia baraza la mitihani linawaonea wanafunzi wa kiislam..maamuma hawa....hawajitambui ndo maana wanaburuzwa na vilaza
ooh jesus christ waokoe hawa wana wapotevu
duh hakika wamejenga mchangani ndo maana harakati zao za kikuda hazijawahi kuzaa matunda wanayoyataka......nawaonea huruma kweli...na mabomu mlioandaliwa safari hii mbona mtakohoa damu

Mkuu usitoe matusi makali.....kwani ipo siku mtakuja juta hawa watu wakifikia level nyingine kama hizo tunazozisikia za alshaabib janjaweed na boko halam...cha msingi serekali itumie busara katika swala hili..maana ninaamini waislam wakitumia imani yao na kuigeuza kuwa vita hata wewe uliye nyuma ya PC utakimbia na maisha yako kuwajujuu.
Hakuja wahi tokea watu wakafanya kujilipua na kufa na watu isipo kuwa hawa mabwana so tuchunge sana na tuwemakini katika kutatua matatizo ya kidini.
 
Sasa hapo watoto wa shule wanahusikaje? mimi ninachojua ni kwamba mtoto akihisi ameonewa huenda kumuomba baba/mama amsaidie, sasa nyie wazazi gani mkihisi kuonewa mwasema kwa mtoto mdogo? nilidhani mmeanza kupona kumbe ugonjwa wa akili unazidi. Poleni sana. Polisi andaeni vilungu kama hawataomba kibali tena.
 
watoto wakienda mahakamani lengo hasa ni nini??...hao mashekh hawana kazi
 
This is very stupid sir!

Siku moja ya kazi inapoharibika si jambo la kusherekea, hiyo ni disaster. Haya maisha yetu ya kudhania kuwa waajiri wanaanzisha biashara zao ili sisi tulipwe mishahara ni janga. Badala ya kuhofia uzalishaji utalala, wewe unafurahia kukaa nyumbani na mwisho wa mwezi unaenda kuchukua mshahara.

Nisamehe kama utachukia, lkn sina jina lingine kwa mtu mwenye mawazo kama yako zaidi ya mpumbavu. Mawazo yananichoma moyo kiasi ambacho huwezi kudhania, ndio sisi tunaolia kuwa wageni wanaajiriwa?!

Watanzania tubadilike, huyu ni mfano mchafu kabisa kwa jamii yetu. Ni vile mimi ni mtu mdogo tu, lkn leo hii ningekuweka gerezani miezi 6 bila kukufikisha mahakamani.

Tena inaelekea wewe ni sharobaro jinga kabisa kwani hata signature yako ni simu simu tu za gharama. Unafurahia teknolojia bila kuzingatia imewachukua juhudi kubwa watu kuileta kwako wewe unayewaza mabaya ili ulale nyumbani na mwisho wa mwezi ukachukue mshahara. Shame on you! Idiot.

Wala siwezi kuchukia, y nichukia wakati una uhuru wakutoa maoni yako bila kutukana? Jumapili itabadilika na kuwa siku ya kazi, hakuna liakalopotes hapo, ijumaa mapumziko jumapili siku ya kazi kama kawaida
 
Mkuu usitoe matusi makali.....kwani ipo siku mtakuja juta hawa watu wakifikia level nyingine kama hizo tunazozisikia za alshaabib janjaweed na boko halam...cha msingi serekali itumie busara katika swala hili..maana ninaamini waislam wakitumia imani yao na kuigeuza kuwa vita hata wewe uliye nyuma ya PC utakimbia na maisha yako kuwajujuu.
Hakuja wahi tokea watu wakafanya kujilipua na kufa na watu isipo kuwa hawa mabwana so tuchunge sana na tuwemakini katika kutatua matatizo ya kidini.

wewe mbona unakuwa muoga kijinga namna hiyo, acha wajilipue si na wao wanakufa. Wakati wa vurungu kila mtu anapata shida bila kujali alianzisha yeye au la.
 
siku zote huwa nasema mwanaume anapovaa vazi lolote linalofanana na gauni ? Hata jinsia ya fikra hubadilika ?
Nadhani mmejionea sasa ?
Kama unaongelea KANZU mbona hata Maaskofu, Mapadre na Wachungaji wanavaa! Tena wanaweka na madoido mengi tu juu yake. Waislaam walianza kumbeza na kumtukana Mwalimu wakadhani watabaki salama.

Mwalimu alihangaika sana na ELIMU kwa watoto wa KIISLAMU. Akataifisha mashule mengi tu ya Wakristo ili wote tusome. Akatoa upendeleo maalum kwa jamii zenye Waislam wengi kwenda sekondari. Leo hii wanambeza, wanamtukana, wanamdhalilisha baba wa watu bila soni wala aibu hadi ndani ya misikiti.
 
There must be sth wrong with the minds of these pple,either congenital or u aquire it once u become one of them...seriously
 
nyinyi ongeeni pumba tu hapa baadae watoto zenu wakalawitiwe na mapadri, na wenyewe muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake, si limepitishwa hili kanisani? Hahaha, nd kuhusu maandamano na mikakati ya waislam na uislam kamwe hamtoelewa sababu na hamtoujua ukweli, kwa sababu nyie ni watu wa kuambiwa fungua mathayo saba mstari wa sita so may be mnasubiri kila kitu muambiwe mfungue sehemu msome ndio muelewe, nd uzuri wa dini ya kiislam ni kuwa hata ukija na hoja ipi huwezi kuutikisa hata chembe, mnasema sisi kusoma hatutaki na hatuna elimu wanasayansi wa karne za mwanzo ni waislamu, walioanzisha hesabu waislamu hizo sine cosine kila kitu ni muislam halafu cha kufurahisha zaidi ni kuwa wametoa kwenye quraan na sasa hv wanasaynsi hata wasiokuwa waisalmu wanatumia quraan kujifunza na kila siku wanathibitsha yalioandikwa kwenye quraan, sasa cjui una shaka gani na hii dini yetu ya kisomi
 
Hivi Mwenyezi Mungu huwezi kuwapa sayari yao hawa mburura. I am sure they are not Homo sapiens, perhaps Homo erectus
 
nyinyi ongeeni pumba tu hapa baadae watoto zenu wakalawitiwe na mapadri, na wenyewe muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake, si limepitishwa hili kanisani? Hahaha, nd kuhusu maandamano na mikakati ya waislam na uislam kamwe hamtoelewa sababu na hamtoujua ukweli, kwa sababu nyie ni watu wa kuambiwa fungua mathayo saba mstari wa sita so may be mnasubiri kila kitu muambiwe mfungue sehemu msome ndio muelewe, nd uzuri wa dini ya kiislam ni kuwa hata ukija na hoja ipi huwezi kuutikisa hata chembe, mnasema sisi kusoma hatutaki na hatuna elimu wanasayansi wa karne za mwanzo ni waislamu, walioanzisha hesabu waislamu hizo sine cosine kila kitu ni muislam halafu cha kufurahisha zaidi ni kuwa wametoa kwenye quraan na sasa hv wanasaynsi hata wasiokuwa waisalmu wanatumia quraan kujifunza na kila siku wanathibitsha yalioandikwa kwenye quraan, sasa cjui una shaka gani na hii dini yetu ya kisomi

big rubish
 
Mkuu usitoe matusi makali.....kwani ipo siku mtakuja juta hawa watu wakifikia level nyingine kama hizo tunazozisikia za alshaabib janjaweed na boko halam...cha msingi serekali itumie busara katika swala hili..maana ninaamini waislam wakitumia imani yao na kuigeuza kuwa vita hata wewe uliye nyuma ya PC utakimbia na maisha yako kuwajujuu.
Hakuja wahi tokea watu wakafanya kujilipua na kufa na watu isipo kuwa hawa mabwana so tuchunge sana na tuwemakini katika kutatua matatizo ya kidini.

kidooogo ww unaonekana na mawazo ambayo tunaweza kukaa meza moja na mtu mkajadili hoja, ila kuna wengine hapa wao ni chuki tu
 
Wanajamvi naomba mtumie lugha nzuri kwani si waislamu wote wenye mawazo hayo na nina hakika hiyo alhamisi haitakuwa kwa wanafunzi wote,labda watoto wa huyo shehe tu.
Kwa habari ya kuungwa mkono, sidhani kama mkuu wa nchi anahusika au anawaunga mkono kwa vyovyote vile kwani anajua alisoma na kutibiwa misheni na anao ndugu wengi wa dini zingine ikiwemo wakristo.Watu wakishiba kande wasimsingizie mwana wa ukae.
Kwao wanasubiri ufadhili wa silaha nawashauri waombe silaha kali ambayo si bomu la kumuua bali elimu ya kumkomboa na tiba ya kumwongezea siku za kuishi.Silaha za kuua hazitamsaidia yeye wala watoto wake na akubisha amuulize Shehe Osama bin Laden.
 
Kinachonishangaza dhulma dhidi ya Waislam hazipo Tanzania tu. Yemen, Syria na Iran nako waislamu wanalalamika dhulma. Wanakimbilia USA na UK kukwepa dhulma.

Mwanzo tuliambiwa kuwa Ponda ni muhuni tu na tusiuchafue uislamu kwa kuuhusisha nae lkn leo tunaambiwa tena kuwa ni kiongozi wa waislamu na wanaandaa maandamano ya fujo kumtetea. Sasa nachojua mimi shule ya Kinondoni Muslim ni ya BAKWATA sasa sijui BAKWATA na Ponda wameanza lini kuwa dam dam

shule ya kinondoni muslim si shule pekee ya waislamu dar zipo nyingi tu na bakwata hawana mkono wao huko
 
nyinyi ongeeni pumba tu ..................., kwa sababu nyie ni watu wa kuambiwa fungua mathayo saba mstari wa sita so may be mnasubiri kila kitu muambiwe mfungue sehemu msome ndio muelewe,......................

Ulichokisema hapo kwenye red ndo hichi hapa,

Mathayo 7:6 "Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua"
 
Kuwatumia watoto kama kinga ya kihalifu ni ugaidi. Serikali legevu, ndani ya mlegezo, itaongea huku nguo za chini ya kitovu zimeishadondoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom