Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

Status
Not open for further replies.
Mleta mada hapa umechemsha, maana tangu nikiwa mdogo ili
kuwa siku akija kiongozi wa serikali lazima tusimamishe masomo twende tukamshangilie. Mwaka tisini na tisa, Nyerere alipofariki vivohivyo tulitolewa madarasani tukapelekwa barabarani ili kupungia msafara wake. Hivyo mi sioni shida yoyote kwa wanafunzi hao kwenda kwenye kesi.

kama Ponda mnamheshimu mwingizeni kwenye kalenda za sikukuu za kiisilamu...idi elftiri.idi elhaji,id eliponda,Ramadhani nk.!
 
Lazima hiyo alhamisi na ijumaa tufate maelekezo ya Ma-Shekhe wetu na mtaona kama tutapigwa mabomu maana mtetezi wetu yupo amerudi mlitubahatisha tu last week kwa kuwa mkuu hakuwepo lakin muulizeni nchimbi kitimoto alichowekwa maana alitaka kuidhalilisha dini inayoongoza serikali yenu
Amewaletea majambia kutoka OMAN, NAKUMBUKA KAULI YA KAMANDA WA POLISI ZANZIBAR WAKATI AKIHOJIWA NA SAUTI YA UJERUMANI KUWA KILA WAKIENDA UARABUNI (OMAN NA QATAR) WAKIRUDI VURUGU HUTOKEA.
 
Kaka nilikugongea like hapo Juu kushangaa akili finyu uliyonayo... Hivyo Kwako hata muislamu akilawiti binging yako akifunguliwa mashitaka basi utahamashisha waislamu waandamane ili kumuunga mkono mhalifu?
Kama hayo unayosema ni kweli, nampongeza sana sheikh kondo, kwa kuwa waislamu wote ni ndugu. Matatizo/mazuri ya muislamu mmoja ni kwa waislamu wote. Shime waislamu twendeni mahakamani kusilikiza kesi za kizushi zinazomkabili sheikh wote mpendwa Ponda. Inshaalah, allah atatuondoshea dhulma tunazozipata katika nchi hii ya Tanzania.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom