Shule za vipaji maalumu

Lazima tugroom brains za kutusaidia baadae.

Wale vijana wa vipaj maalum wa zamani ndiyo wanaotusaidia siku hizi katika vyuo vyetu vikuu kama lecturers.

Kuwa na shule za vipaji maalum ni muhimu hasa kwa Mataifa machanga haya yanayohitaji brains za kutupigisha hatua kwa kasi.
hukunielewa: vipaji ni multidimensional
 
Lazima tugroom brains za kutusaidia baadae.

Wale vijana wa vipaj maalum wa zamani ndiyo wanaotusaidia siku hizi katika vyuo vyetu vikuu kama lecturers.

Kuwa na shule za vipaji maalum ni muhimu hasa kwa Mataifa machanga haya yanayohitaji brains za kutupigisha hatua kwa kasi.
Unaposema "vipaji maalumu" una maanisha nini?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Unaposema "shule ya vipaji maalumu" una maanisha nini?

Kuelewa physics ni kipaji. Sio kila mtu atafundishwa na kuelewa physics. Huyo ana kipaji maalum ktk somo la physics. Kuna shule zao.

Kufundishwa mpira au muziki na kuelewa ni kipaji,sio kila mtu atafundishwa hivyo vitu na kuvimasta.
Kuna/kulikuwana na shule zao.

Ujifunze physics halafu upewe mitihani tofauti 10 ya physics inayohitaji uelezee vitu mbalimbali na calculation za kutosha na upige 90% halafu mtu aseme UMEKARIRI. Ni wivu tu.

Ni lazima ubongo uwe na kipawa cha kuikontroo physics.

Vile vile KWA wenye vipaji vya mpira,mtafundishwa wore sawa ila Watu kadhaa ndio wataelewa zaidi.
 
Na wanaokariri na wanatusua tusemeje?,kukariri ni kipaji pia?
 
Unaposema "shule ya vipaji maalumu" una maanisha nini?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Maalumu katika nyanja ipi? Ukishasema kuwa hao ni wenye vipaji maalumu, basi wao ni bora kuliko wengine, jambo ambali si kweli. Ni afadhali wakisema kuwa wana vipaji maalumu katoika masomo ya Sayansi ijulikane hivyo kuliko kuacha wazi kuwa wao ndio wana vipaji tu bila kujua kuwa kuna wenye vipaji maalum katika Muziki, wenye Vipaji maalum katika Michezo n.k.
 
Unaposema "wanavipaji maalumu katika masomo ya sayansi" una maanisha nini?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ila kiukweli wangetoa favor maan kama mm huyo ni mdogo angu wa shule ya kata ,halafu kapata tu io mwenyewe. Shida wanawapa wa private school pekee
Km ana 1 ya 9, na ana Point 4 ktk comb anachaguliwa.
Na km amesoma kata, awe mpolee nafas anayooo.
 
Back
Top Bottom