Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.

Tunafeli wapi jamani?

Maendeleo hayana vyama!
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020.

Akitangaza matokeo hayo jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.09 ikilinganishwa na yale ya kidato cha nne kwa mwaka 2019.

“Mikoa iliyoongoza kwa ufaulu katika mtihani wa kidato cha nne ni Arusha, Kilimanjaro na Iringa huku kwa upande wa Halmashauri Bagamoyo ndio imeongoza,” Dkt. Msonde.

Aidha, Msonde amesema kuwa baraza hilo limefuta matokeo ya watahaniwa 215 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo.

Angalia hapo ☝️we kila.za
 
Wazee wa zamani Kilimanjaro waliupenda sana mkoa wao kiasi hawakuwa wakienda huko Krisimasi bali waliishi huko, kutokana nakuishi huko waliishi na watoto wao karibuni tofauti na hawa wanaokwenda kutengeneza watoto kisha wao wanarudi Dar kutafuta maisha mtoto anaishi na mama, bibi na babu mpaka Krisimasi. Hao ambazo mtoto anaishi nao hawana uwezo tena wa kufuatilia mwenendo wa mtoto shuleni.
Ubongo wako uko obsolute
 
Kwa awamu hii Kilimanjaro lazima iko siku itakuwa ya mwisho

Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020.

Akitangaza matokeo hayo jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.09 ikilinganishwa na yale ya kidato cha nne kwa mwaka 2019.

“Mikoa iliyoongoza kwa ufaulu katika mtihani wa kidato cha nne ni Arusha, Kilimanjaro na Iringa huku kwa upande wa Halmashauri Bagamoyo ndio imeongoza,” Dkt. Msonde.

Aidha, Msonde amesema kuwa baraza hilo limefuta matokeo ya watahaniwa 215 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo.

Angalia hapo ☝️we kila.za
 
Ubongo wako uko obsolute

Au unamaanisha ABSOLETE?
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kitaifa ya upimaji wa maarifa kwa darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika mwaka jana, 2020.

Akitangaza matokeo hayo jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.09 ikilinganishwa na yale ya kidato cha nne kwa mwaka 2019.

“Mikoa iliyoongoza kwa ufaulu katika mtihani wa kidato cha nne ni Arusha, Kilimanjaro na Iringa huku kwa upande wa Halmashauri Bagamoyo ndio imeongoza,” Dkt. Msonde.

Aidha, Msonde amesem a kuwa baraza hilo limefuta matokeo ya watahaniwa 215 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo.

Angalia hapo ☝️we kila.za
 
..shule za Kilimanjaro, haswa za Dini ambazo zinasifika kwa matokeo mazuri, zinachukua wanafunzi toka maeneo yote ya Tanzania.

..Ni makosa kuamini kwamba wanaofaidika na shule hizo ni wenyeji wa Kilimanjaro peke yao.

..Nawashauri wale wenye chuki na mkoa huo waache na wakome.
 
Linapokuja swala la Elimu, Kilimanjaro ni kama Macca mkoa wowote lazima uje ujifunze mbinu pale
 
Kilimanjaro ina shule 319 za secondary ,kuna watu hawataona juhudi binafsi za watu kujijengea shule hapo? watu wameanza kupenda elimu toka miaka hiyooo leo kazi kupigwa majungu tu ,mnajua kwamba 1890 kulikuwa na gazeti la kichaga watu wanasoma kabisa?
miaka hiyo makabila mengine yako bize kulogana hadi miaka ya kAribuni tu ndo wamepunguza maana kuna hadi speaker mstaafu mmoja alienda kuomba ruhusa kwa wazee wa jadi kujenga nyumba ya bati la sivyo angeuliwa kwa uchawi
Jamii za hivyo leo vizazi vyao vinalaumu wachaga ambao hawajawahi kutoa hata waziri mkuu ,pathetic
No wonder wengine wanashangaa xmas wachaga kwenda kwao maana kuna baadhi ya makabila ukitembelea home hata na ki vitz kama hujajikinga kisawasawa utazikwa hukohuko kijijini,NENO WIVU WA MAENDELEO KWAO NI MSAMIATI

Ukiona huwezi kushindana na mtu ungana nae. Hawa kila kukicha nikuisema tu Kilimanjaro kujifunza kwetu hawataki wivu husda ndo vimewajaa.
 
shule za sekondari nchi nzima zipo 3900 kati ya hizo 320 zipo kilimnajaro almost 10 percent majinga yanaongea pumba tu hayajiulizi ilikuwaje zikawa nyingi hivyoo?kabila halijawahi kuwa hata na waziri mkuu,kuna majitu yamekalia uchawi hadi leo
kuna watu hata hapa jukwaani wanaogopa kwenda vijijini kwao au kujenga nyumba kali watalogwa wakiona xmass nyomi inapanda mgombani maneno yanaanza
 
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.

Tunafeli wapi jamani?

Maendeleo hayana vyama!
Ni kwamba Enzi za mchaga zimekwisha. Sasa ni Enzi ya makabila mchanganyiko mchanganyiko
 
Back
Top Bottom