mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,688
- 105,670
Vp tuwalaumu cdm nini bwashehhNimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro.
Tunafeli wapi jamani?
Maendeleo hayana vyama!
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app