wacha weee.
watu8 this is issue is very serious hasa watoto waduchu kupelekwa nursery,primary boarding.
Huko wanakutana na wakubwa wa sekondary waliozoea kuchokonoa sasa wakuwachokonoa hawana unafikiri watawachokonoa wakina nani????
Hii mada sitaki kusoma comment sana sababu inaniumiza vijana wengi siku hizi mashoga.
Hapa ofisini kwenye shops zetu tuna mabouncer.
Kuna huyu bouncer handsome handsome kidogo.
Anauza viatu mwenge kazi yake ingine.sasa alipita kivulana kinasoma somewhere town form 2.
Kakawa kanamsalimia sana yule bouncer kakamuomba urafiki.
Inshort ni kashoga imagine mtoto wa form 2 anaafanya hivyo.
Inauma oooo tena kanatafuta.
Undani wa yule mtoto kameanzia maboarding...
Hii kitu boarding,mahausiboy,uncles,..
Pamoja na kumuomba sana Mungu na inabidi wamama tuwe waangalifu sana.
Mungu akinijaalia nitakapopata kababy nlishasema boarding ataenda akiwa anajitambua,hakai nyumbani na pasipo mimi babaye au bibi yake babu inshort ndugu wa danu na wakaribu kabisa.
Kama naenda job ataenda kwa bibi yake....
Shule nyingi these days wanafundisha kuhusu ukimwi...ila sijawahi sikia shule inafundisha watoto kuepuka ushoga; watoto wetu ni waelewa ukiwawahi; lakini nani wa kufundisha kitu ambacho kinaonekana kama dhambi hata kutamka tu?
Wadau kuna uzi wa jamaa kafumaniwa na mke wake akilawitiwa....na nyuzi nyingine nyingi tu za mimomonyoko ya maadili kwa watoto wetu wa kike na wakiume...
Hebu turudi tuangalie nini chanzo hasa....kwa utashi wangu naona wazazi tunakimbia majukumu sana siku hizi.....mtoto mdogo unampeleka boarding school...ni very dangerous. Kule ndio watoto wanaanza vijitabia vya kubashiana na mwisho wake ndio huo unakua mzaoea..watoto wa kike nao siku hizi ni wakeketaji balaa...
Jaribuni sana kuwa karibu na kufatilia nyendo za watoto....msimwachie dada wakati nyie mkitoka ofisini mnapitia baa eti kusubiria foleni....
Asilimia kubwa ya walawitiwaji hawajajifunzia ukubwani.....wengi wamekua na hizo tabia toka wadogo.
Tuweni makini na vijana wetu.
kaunga maneno yako angalau kidogo ungeyafungia fungia.
Sarikoki umenena mkuu, watoto wangu walipita hatu kama za kwako na ni wote wa kike na wa kiume!! Ni wasafi, wapishi na wapangaji wa nyumba kabisa. Majukumu yalikuwa kwa zamu, nje na ndani na kupika ni wote na kuosha vyombo ni wote. Wake na waume zao wanafurahia/watafurahia!! No regret. Utajiri na uwezo wangu ni marufuku kuharibu watoto wangu, hata wajukuu ni full suit tu. Kwa kuwa wanajifunza kwa angalao mzazi wao/mwanangu na mimi wakifika. TV ni kwa ratiba!! Mti ukunje ungali mchanga!! Samaki mkunje angali mbichi!! Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo!! Na maandiko yanasema "Mlee Mwanao njia ipasayo na hataisahau hata uzee wake!!
hii ishu ni nzito aisee, kuna jirani zetu homu wana watoto 5 wa kwanza ni dada yao mtu mzima tu afu hao walofata ni wa kiume tupu, sasa ishu ikawa yule last born alichelewa kupatikana kwani alizaliwa wakati kaka zake washapevuka tayari, basi katoto kalivyo fika 5 years kakaanza kulala na braza zake, kwakuwa wale walikuwa washakomaa wakaanza kukafumua marinda bana, wazazi wamekuja gundua mtoto si rizki kishaharibika tayari, na ni familia ya kilokole balaa!!! walimpeleka kwenye semina akafundishwa na kubadilishwa kabisa, sahivi ni ka-kijana na heshima zake kako form3, ila mie simwamini kabisa na nimemwambia dogo yuko std 6 akae naye mbali, kwani ni ishu iliyokuwa wazi na kila mtu kitaa anaijua
hii ishu ni nzito aisee, kuna jirani zetu homu wana watoto 5 wa kwanza ni dada yao mtu mzima tu afu hao walofata ni wa kiume tupu, sasa ishu ikawa yule last born alichelewa kupatikana kwani alizaliwa wakati kaka zake washapevuka tayari, basi katoto kalivyo fika 5 years kakaanza kulala na braza zake, kwakuwa wale walikuwa washakomaa wakaanza kukafumua marinda bana, wazazi wamekuja gundua mtoto si rizki kishaharibika tayari, na ni familia ya kilokole balaa!!! walimpeleka kwenye semina akafundishwa na kubadilishwa kabisa, sahivi ni ka-kijana na heshima zake kako form3, ila mie simwamini kabisa na nimemwambia dogo yuko std 6 akae naye mbali, kwani ni ishu iliyokuwa wazi na kila mtu kitaa anaijua
Hasante mkuu kwa kuniunga mkono....watanzania tunalemazwa sana na mahousegirl..,unakuta kila kitu unasikia mama anaita dada mletee mtoto... dada mleteee mtoto.....unakuta mtoto anakula hata chombo alichomaliza kulia hatoi mezani......unaenda kutembelea mtu ukisikia mtoto anavyomjibu housegirl au saa nyingine hata mzazi unatamani ardhi ipasuke.......ukimuuliza mzazi anakujibu ahh unajua tena kizazi cha siku izi....hamna hiyo kitu kwangu.... wote ni sawa ndani ya nyumba when it comes to commitment.
Hata mimi nikimaliza kula naondoka saa nyingine naosha sahani yangu..
KIZAZI CHA NYOKA HIKI!!!!!! Mimi kale kacosin changu nishakapiga vijiti vya uzazi wa mpango tangu December! Tena kuna rafiki yake mama yake nae kamleta nimsindikize huko nilikokapeleka nae kampiga binti yake wa form 2 vijiti 3!!!!! Hapo hadi six!!!!!
Kizazi hiki unaweza kuwa unamuamini mwanao kumbe hamna kitu!!!!!! Prevention is better than cure!!!!!! Swala la abortion tushajiepusha nalo! Zama hizi ukilea mtoto kama 1980's utashaaaaa!
Wont happen again, was trying to stress a point!
Nilitaka kumpeleka mtoto wangu wakiume boarding_std 1...naairisha zoezi mara moja.
Nimeisikia jana Clouds FM kwenye Jahazi, no comment.
Ni kweli Jallen , nakumbuka zamani nilikua siwezi kwenda na kitu nyumbani bila kuuliza nimekipata wapi......yaani hata kama mtu anakupa zawadi unafikiria mara mbilimbili......maana ukifika home ni kibano na maswali mengi........sasa siku hizi mtoto anakuja na Iphone au na Ipod hata Laptop mzazi humuulizi anapata wapi au hata ukiuliza unaridhika na jibu lakirahisi la "nimeazima kwa rafiki yangu au kuna mtu ameniomba nimshikie".... ni balaa.Hili ni tatizo kubwa sana si kama tunavyodhani, kunahitajika nguvu ya ziada ya kupambana na watoto wetu, hasa wengi ni wa kiume wenye umri wa miaka 15 hadi 28
Unadhani inaweza kusaidia mamii