Shule ya sekondari St Marry's Mazinde Juu- sehemu ya majengo yake!!!

some behaviour do not suit grown ups. sijui upo group gani

growing old is mandatory remain immature is an option!

upo hapo

arguing is a sort of immaturity,

naona jiwe limempata muhusika. teh teh teh
 
Kuna watu watabaki eti mfumo Kristo...Kumbe ni juhudi na mipango......Shule nzuri kiasi hiko unafikiri kuna sababu ya kutoka na Div III...

Hapo ni I na II tuu...
 
acha hizo bana mbona sisi tumesoma huko bana wala hakuna mambo unayoyasema

hiyo ni negative mind set yako

truth speaks for itself kwani ni uongo Marian girls, mazinde juu, maua seminary, canosa girls and the rest

kwani ni uongo kuwa zinaperform vizuri can you justify your statement.

hivi madras waga mnafundishwa kuhate christians ?

muslims have hatred on christians sijui kwani sorry to say this Mungu anisamehe nitakapo mkwaza mtu, i,m not arguing with anyone .

Kama ungekuwa neutral kama unavyotaka usomeke, ungeona ni nani aliyeanzisha chuki dhidi ya mwenzie kwenye uzi huu!!
 
Moshie tiwedi iwe....hahahaaaaa umekumbusha enzi zangu hapo chini msituni hapo tunawasubiri wakienda Oaklands lazima utupe neno bana, wakati huo nasoma Magamba Boys sio magamba ya CCM...ilikua boys ya ukweli now Sebastian Kolowa University College...tumekula sana mapeasi........

Hata mimi inanikumbusha Magamba 1990's
 
Hii shule ni ya kanisa lakini inamilikiwa na Mzungu, ni yeye ana mipango yote pamoja na kusimamia masuala yote ya pesa. Hakuna uchakachuaji hapa. Linganisha na UDOM ilivyojengwa na shule kama hii utaniambia. Private sector is always super over public!
 
Moshie tiwedi iwe....hahahaaaaa umekumbusha enzi zangu hapo chini msituni hapo tunawasubiri wakienda Oaklands lazima utupe neno bana, wakati huo nasoma Magamba Boys sio magamba ya CCM...ilikua boys ya ukweli now Sebastian Kolowa University College...tumekula sana mapeasi........

Elli umbuje umenikumbushaOAKLAND. Mosieeee
 
Kuna majengo flani hapo Dar Yanaitwa WIZARA YA ELIMU ukitaka takwimu za mitihani yote hata ya miaka kumi iliopita utapewa.

Lkn TAKWIMU ZA MAPADRI KULAWITI WATOTO ZIMEJAA KILA KONA.
BBC tu peke yake INA TAKWIMU NYINGI MNO.

Na UMOJA WA MATAIFA zimejaa makabati mengi tu.

We Google tu, utawaona WAFUASI WA YESU wanavyo najisi na kulawiti WATOTO WADOGO WA KIUME NDANI YA MAKANISA , utafkiri yesu aliwaambia hio pia ni IBADA.

Mie nime google nimepata hizi picha tuu
ImageUploadedByJamiiForums1404298469.569000.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1404298737.337111.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mi wala sijagoogle, humu humu JF Nimepata habari hii.

Askofu abaka huko mwanza. - https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=683566
Askofu abaka huko mwanza.

Naona niki Google nitaharibu swaumu yangu.

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/22370-ustaadh-akamatwa.html
Kama ni hizo tuhuma mbona ziko nyingi? Rudi tuuwenye mada. Shule zinapendeza na zinatoa elimu bora. Kwa nini wengine hawataki kuiga bali kulalama tuu

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Moshie tiwedi iwe....hahahaaaaa umekumbusha enzi zangu hapo chini msituni hapo tunawasubiri wakienda Oaklands lazima utupe neno bana, wakati huo nasoma Magamba Boys sio magamba ya CCM...ilikua boys ya ukweli now Sebastian Kolowa University College...tumekula sana mapeasi........

kumbe wazee G boy tupo weng mi nimendoka 2006 kupisha chuo
 
Back
Top Bottom