Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 897
Shuleni UD hakuwa kichwa. Degree yake ya sheria, its just a PASS na hakufanya masters
MKJJ duh! shukran sana
cha ajabu katika website yake hajaweka watu ambao wanamsponsor ukibonyeza sponsors wake huoni kitu
JF XXL,MKJJ duh! shukran sana
cha ajabu katika website yake hajaweka watu ambao wanamsponsor ukibonyeza sponsors wake huoni kitu
Sio Kweli..Mkono works very closely with the Import Support Boys..wenyewe wanajiita OLD MONEY WA TANZANIA!!JF XXL,
Mkono anajisponsor mwenyewe.
The Mwalimu Nyerere UWC for Self-RelianceMKJJ duh! shukran sana
cha ajabu katika website yake hajaweka watu ambao wanamsponsor ukibonyeza sponsors wake huoni kitu
.Umeongopa.
Au hujui kitu kuhusu background ya Mkono.
Basi fanya ka research ka uongo na kweli kidogo kabla ya ku posti kitu kuhusu facts za mtu. Mkono ni mbunge, ungeanzia kwenye website ya Bunge angalau kupata ka background kidogo hapa.
Na degree ya PASS ndio nini hicho? Chuo gani chako hicho wenye hicho kitu? Acha kuji expose Pasco wewe!