Shule ya NIMROD MKONO

Shule ya NIMROD MKONO

Shule Mheshimiwa Mbunge Nimrod Elirehema Mkono (CCM-Musoma Vijijini) Alizojenga Huko Kwao Zanaki na Orodha ya Wafadhili (wakiwemo akina Jeetu C. Patel): Source: http://www.musomarural.org/

Wanzangi Secondary School for Girls (named after a Zanaki Chief):
1. Africarriers Ltd. (Mr. Mustafa Rashid- Dar Es Salaam).
2. Holtan Investment Co Ltd. - Dar es Salaam).
3. M.M. Integrated Steel Mills Ltd. / Motisun Holdings Ltd. (Mr. Subhash M. Patel - Dar es Salaam).
4. Mr. H. Armiit Gaewal.
5. Noble Azania Investments Ltd. (Mr. Jeetu C. Patel - Dar es Salaam).
6. Peninsula Hotel – (Musoma, Tanzania).
Ihunyo Secondary School for Girls (named after a Zanaki Chief):
1. Domus Woodworks Ltd. (Dar Es Salaam).
2. Exim Bank Tanzania Ltd. ('Yogesh Manek' - Mac Group – Dar es Salaam).
3. Holtan Investment Co Ltd. – (Dar Es Salaam).
4. Lake Victoria Environmental Project.
5. M.M. Integrated Steel Mills Ltd. / Motisun Holdings Ltd. – ('Subhash M. Patel' - Dar es Salaam); Noble Azania Investments Ltd. – ('Jeetu C. Patel'- Dar es Salaam).
6. Techno Brain Ltd. ('Mahesh Patel' - Dar es Salaam).
7. Timber Sales Ltd. - 'Harmeet Grewal'
8. (P.O. Box 1321 - Dar es Salaam.
Other schools under construction in his own Zanaki area:
1. Oswald Mang'ombe High School (named after a son of a lesser Zanaki Chie before unifying the ethnic group into a single chiefdom. Mr. Oswald Mang'ombe attended Middle School with Julius Kambarage Nyerere and played a leading role accommodating Nyerere following his resignation from teaching, and later on).
2. Busegwe Primary School
3. Butuguri Secondary School
Renovated Schools Outside Zanaki:
1. Secondary School in Kasoma formerly a Government primary school transformed into a secondary school in Wajita area.
2. Bisumwa Secondary School (now Mkono Secondary School).
3. School in Mukirira in Waruri/Wakwaya area.
Mwalimu Nyerere UWC for Self – Reliance – a proposed University to engulf the Cattle Insemination Station built under Cuban Government technical assistance.
------------------------------------------------------------------------------------------
Mkono na Benki M:

Kuna wakati Mkinga Mkinga aliripoti katika gazeti moja nchini sehemu hii:

Mkono alisema inasikitisha kuona miaka 45 baada ya uhuru, bado Watanzania wanakuwa na mawazo ya kutawaliwa kifikra na wazungu, ama rangi isiyo na asili ya Afrika, kiasi cha kutaka kuwajua wamiliki wa benki hiyo.

Februari mwaka huu, wanahisa wa benki hiyo walikuwa wameoredheshwa kuwa ni Jayant Kumar Patel (au Jeetu Patel) wa Noble Azania Investments Limited, Vimal Mehta wa Negus Holdings Limited na Fidha Rashid.

Mkono pia anamikili hisa nyingi katika benki hiyo kupitia kampuni yake ya Equity & Allied Limited huku wanahisa wengine wa benki hiyo wakiwa ni Sanjeev Kumar ambaye ni mwanataaluma wa benki, na Bhaskaran Nair.

Kiasi cha fedha kilichoonyeshwa kama mtaji wa kila mwanahisa ni kama ifuatavyo; Negus Holdings Limited Sh1.3 bilioni, Noble Azania Investments Limited Sh1.3 bilioni, Africarriers Limited Sh1.3 bilioni, Equity and Allied Limited Sh1.3bn, Kumar Sh650 milioni na Nair Sh650 milioni. (Mwisho)

Mtakumbuka kuwa Mkono alipoulizwa kwa nini anaungana na Wahindi alijibu kuwa ni vigumu sana kwa wazawa kuweza kupewa kibali cha kuanzisha benki. Ndio maana kawafuata hao Wahindi.

Sasa Mkono ni Mbunge, kwa nini asitoe hoja ya hiyo Bungeni ili Bunge lirekebishe hitilafu iliyopo?

Hayo ni maslahi ya ubinafsi over maslahi ya taifa!

Ingawa ananukia takataka ila amefanya kitu cha maana na cha mfano. Nawapa shime wanahisa wa ufisadi wamuige mwenzao ili labda laana zitawapunguka hapo mbeleni.. Laana zao zipo pale pale
 
kwa pesa zilizotumika nadhani shule zake zote ni bogus in terms of michoro na kadhalika

Hivi mshaona shule aliyojenga mama Salma Nyamisati?
 
Afadhali amejenga shule, je RA amejenga ngapi?

Shule ni alama itakayo baki karne nyingi zijazo

Kama mwizi si ashtakiwe tuone, kwani kujenga shule kunampa kinga ya kushtakiwa kwa kuiba?
 
Watu wanadai walikula njama ya kuchoma benki kuu na kukomba mabilioni ya shilingi. Baada ya hapo mwalimu nyerere alimmaindi sana jamaa akaondoka nchini na kwenda ughaibuni. Mkono alirudi tanzania baada ya nyerere kufariki mwaka 1999 na mwaka 2000 ndo akagombea ubunge. Kama nyerere angekuwa hai mkono asingekuwa hapa nchini kwa sasa. Hata hivyo tunamshukuru kwa kutereshea baadi ya pesa zetu kwa kutoa huduma kwa jamii yeye ni tofauti na mafisadi wengine walau yeye ni fisadi anayejali kidogo. Kama mtakumbuka mkono alitajwa kwenye first eleven ya mafisadi iliyowekwa hadharani na dr. Slaa na alisema hawezi kwenda kushtaki kwa sababu chadema hawana pesa ya kumlipa. Anyway shule alizojenga musoma zilikua bab kubwa na hata wananchi mwanzoni walizikataa kwa madai kwamba hawana uwezo wa kuwasomesha watoto wao hapo hadi walipoambiwa ni za bei poa ya serikali.
 
Afadhali amejenga shule, je RA amejenga ngapi?

Shule ni alama itakayo baki karne nyingi zijazo

Kama mwizi si ashtakiwe tuone, kwani kujenga shule kunampa kinga ya kushtakiwa kwa kuiba?

mbona hajashtakiwa mpaka sasa?
 
Shule Mheshimiwa Mbunge Nimrod Elirehema Mkono (CCM-Musoma Vijijini) Alizojenga Huko Kwao Zanaki na Orodha ya Wafadhili (wakiwemo akina Jeetu C. Patel): Source: http://www.musomarural.org/

Wanzangi Secondary School for Girls (named after a Zanaki Chief):
1. Africarriers Ltd. (Mr. Mustafa Rashid- Dar Es Salaam).
2. Holtan Investment Co Ltd. - Dar es Salaam).
3. M.M. Integrated Steel Mills Ltd. / Motisun Holdings Ltd. (Mr. Subhash M. Patel - Dar es Salaam).
4. Mr. H. Armiit Gaewal.
5. Noble Azania Investments Ltd. (Mr. Jeetu C. Patel - Dar es Salaam).
6. Peninsula Hotel – (Musoma, Tanzania).
Ihunyo Secondary School for Girls (named after a Zanaki Chief):
1. Domus Woodworks Ltd. (Dar Es Salaam).
2. Exim Bank Tanzania Ltd. ('Yogesh Manek' - Mac Group – Dar es Salaam).
3. Holtan Investment Co Ltd. – (Dar Es Salaam).
4. Lake Victoria Environmental Project.
5. M.M. Integrated Steel Mills Ltd. / Motisun Holdings Ltd. – ('Subhash M. Patel' - Dar es Salaam); Noble Azania Investments Ltd. – ('Jeetu C. Patel'- Dar es Salaam).
6. Techno Brain Ltd. ('Mahesh Patel' - Dar es Salaam).
7. Timber Sales Ltd. - 'Harmeet Grewal'
8. (P.O. Box 1321 - Dar es Salaam.
Other schools under construction in his own Zanaki area:
1. Oswald Mang'ombe High School (named after a son of a lesser Zanaki Chie before unifying the ethnic group into a single chiefdom. Mr. Oswald Mang'ombe attended Middle School with Julius Kambarage Nyerere and played a leading role accommodating Nyerere following his resignation from teaching, and later on).
2. Busegwe Primary School
3. Butuguri Secondary School
Renovated Schools Outside Zanaki:
1. Secondary School in Kasoma formerly a Government primary school transformed into a secondary school in Wajita area.
2. Bisumwa Secondary School (now Mkono Secondary School).
3. School in Mukirira in Waruri/Wakwaya area.
Mwalimu Nyerere UWC for Self – Reliance – a proposed University to engulf the Cattle Insemination Station built under Cuban Government technical assistance.
------------------------------------------------------------------------------------------
Mkono na Benki M:

Kuna wakati Mkinga Mkinga aliripoti katika gazeti moja nchini sehemu hii:

Mkono alisema inasikitisha kuona miaka 45 baada ya uhuru, bado Watanzania wanakuwa na mawazo ya kutawaliwa kifikra na wazungu, ama rangi isiyo na asili ya Afrika, kiasi cha kutaka kuwajua wamiliki wa benki hiyo.

Februari mwaka huu, wanahisa wa benki hiyo walikuwa wameoredheshwa kuwa ni Jayant Kumar Patel (au Jeetu Patel) wa Noble Azania Investments Limited, Vimal Mehta wa Negus Holdings Limited na Fidha Rashid.

Mkono pia anamikili hisa nyingi katika benki hiyo kupitia kampuni yake ya Equity & Allied Limited huku wanahisa wengine wa benki hiyo wakiwa ni Sanjeev Kumar ambaye ni mwanataaluma wa benki, na Bhaskaran Nair.

Kiasi cha fedha kilichoonyeshwa kama mtaji wa kila mwanahisa ni kama ifuatavyo; Negus Holdings Limited Sh1.3 bilioni, Noble Azania Investments Limited Sh1.3 bilioni, Africarriers Limited Sh1.3 bilioni, Equity and Allied Limited Sh1.3bn, Kumar Sh650 milioni na Nair Sh650 milioni. (Mwisho)

Mtakumbuka kuwa Mkono alipoulizwa kwa nini anaungana na Wahindi alijibu kuwa ni vigumu sana kwa wazawa kuweza kupewa kibali cha kuanzisha benki. Ndio maana kawafuata hao Wahindi.

Sasa Mkono ni Mbunge, kwa nini asitoe hoja ya hiyo Bungeni ili Bunge lirekebishe hitilafu iliyopo?

Hayo ni maslahi ya ubinafsi over maslahi ya taifa!

jamaa ametumia close to 60 million USD kujenga shule hizo kwa hesabu za haraka haraka ni BILIONI 70 zake binafsi kujenga shule

I cant see him in court anytime and you know what? I cant hate him for that either
 
Kwani kafanya nini?

Ufisadi gani?

From List of Shame

NIMROD ELIREHEMA MKONO

Mheshimiwa Nimrod E. Mkono ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijiji na Mshiriki Mkuu wa kampuni ya mawakili ya Mkono & Company Advocates ya Dar es Salaam. Barua ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali inaainisha kuwa Benki Kuu imekuwa ikilipa malipo makubwa kwa Mkono & Co. Advocates hasa yale yanayohusu kesi ya Valambhia ambapo Benki Kuu inadaiwa jumla ya shilingi bilioni 60. Kwa mujibu wa barua ya wakaguzi tayari Mkono & Co. Advocates wamekwishalipwa shilingi 8,128,375,237 kwa fedha taslimu kwa kesi hiyo ambayo bado iko mahakamani. Malipo haya ni sawa na asilimia 13.5 ya deni lote inalodaiwa Benki Kuu. Hoja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu ni kuwa kesi hii haina muda maalumu wa kumalizika na hivyo inawezekana kabisa malipo ya wanasheria yakazidi kiasi cha fedha inachodaiwa Benki Kuu.

Lakini hoja nyingine ya kimsingi ni kama malipo haya kwa mawakili yanaruhusiwa chini ya Kanuni za Malipo ya Mawakili na Uamuzi ya Gharama za Kesi za mwaka 1991, Tangazo la Serikali Na. 515 la mwaka 1991 (Advocates' Remuneration and Taxation of Costs Rules, 1991). Kanuni hizi zimeweka kiwango cha malipo ya mawakili katika kesi ambazo fedha inayodaiwa ni zaidi ya Shilingi milioni 10 kuwa ni asilimia tatu. Kwa kufuata masharti ya sheria hii ya malipo ya mawakili, kampuni ya Mkono & Co. Advocates ilipaswa kulipwa Shilingi bilioni 1.8.

Kampuni ya mawakili ya Mkono & Co. Advocates imekuwa ikitajwa kuhusiana na kashfa kubwa za ufujaji na/au ubadhirifu wa fedha za umma kwa muda mrefu. Kwa mfano, ‘Taarifa ya Uchunguzi Kuhusu Tuhuma Dhidi ya Makampuni ya Tanfarms Ltd., Makinyumbi Estates Ltd., Centrepoint Investments Ltd., na Arusha Farms Ltd. Yanayomilikiwa na V.G. Chavda Kuhusiana na Matumizi Mabaya ya Fedha za Debt Conversion Programme' iliyotolewa Bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, Mheshimiwa Edward Oyombe Ayila mwezi Novemba 1994 ilisema yafuatayo kuhusu Mheshimiwa Nimrod Mkono: "Mhe. Spika si nia yangu kulichosha Bunge lako tukufu na hotuba ndefu lakini ni vizuri nikaelezea juu ya uhusiano unaotia mashaka kati ya V.G. Chavda na Mashamba yake na Subash Patel mwenye makampuni ya DECO ART, MM Motors, MM Garage, Hotel Sea Cliff, City Bureau De Change na Nimrod Mkono, Wakili wa kujitegemea ambaye pia ni Mkurugenzi katika makampuni ya AZANIA AGRICULTURAL ENTERPRISES, LIBERTY LEATHER SHOE LTD., AZANIA EXIMCO, n.k. (AIMS GROUP OF COMPANIES)

Baada ya kuelezea uhusiano huo ulivyokuwa Mheshimiwa Ayila alimalizia kwa kusema yafuatayo: "Mheshimiwa Spika, ni vigumu kabisa katika hali ya kawaida kwa mtu yeyote kuamini kwamba makubaliano haya na uhusiano uliojitokeza hapa haukuwa wa hila. Chavda kwa kupitia wakili wake Nimrod Mkono, aliomba Mahakama Kuu kuzuia kabisa shughuli za Kamati (permanent injunction). Aidha ni wakili huyo huyo ambaye ameshuhudia uuzaji wa deni la Deco Art (reassignment) kwa Chavda. Mheshimiwa Spika, hali hii ukiitazama kwa undani utaona kwamba pengine kuna kitu kinafichwa. Nimrod Mkono alikuwa Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Oxford Services Ltd. na pia anamiliki Kampuni ya Marcus Ltd., makampuni ambayo kwa pamoja yamefaidika kwa kuupata jumla ya Shs. 4,477,870,279.61 chini ya utaratibu wa DCP."

Source: List of Shame
 
Ni afadhali yeye ambaye hata kama amepata kwa ufisadi, lakini amekumbuka kugawa japo kidogo kwa watu wake kwa kuwajengea shule na kuwalipa mishahara waalimu. Watoto watakaosoma hapo watalisaidia taifa.
 
Umeongopa.

Au hujui kitu kuhusu background ya Mkono.

Basi fanya ka research ka uongo na kweli kidogo kabla ya ku posti kitu kuhusu facts za mtu. Mkono ni mbunge, ungeanzia kwenye website ya Bunge angalau kupata ka background kidogo hapa.

Na degree ya PASS ndio nini hicho? Chuo gani chako hicho wenye hicho kitu? Acha kuji expose Pasco wewe!

Humu JF kuna watu wenye tabia ovyo, hawampendi mtu asipokuwa wa kabila au kanda yao
 
kuna mtu anaweza ku estimate how much Mkono amespend kujenga shule moja?

in terms of usd..of course
 
humjui ww huyu mzee hawa ndo wale mafisss wa mwanzo tokea enz za awamu ya kwanza sema wanajua kula na vipofu tu, ndo huoni mistake zao na wanajua kuhesabu hatua zao

wewe jamaa umepotelea wapi?
 
Back
Top Bottom