Shule ya NIMROD MKONO

Shule ya NIMROD MKONO

Yuko wapi Nimrod siku hizi?
Alichukua fom kutetea Jimbo lake?
 
Duh. Mpeni pole huyu mwamba. Kuna siku nilikwenda ofisini kwake pale PPF TOWERS nikakuta secretary wake Ni binti wa kizungu. Bahati nzuri na Mimi ung'eng'e unapata. Basi tuliongea na binti mambo mbali mbali mpaka mzee alipokua free nami nikaingia.
 
Back
Top Bottom