Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Jics na wewe shidaaaaa hata ile thread hamkumuelewa Pascal alikuwa anamaanisha nini usikute hata wewe ni PhD holderJics asante kwa kumdongoa Pascal Mayalla
Jics na wewe shidaaaaa hata ile thread hamkumuelewa Pascal alikuwa anamaanisha nini usikute hata wewe ni PhD holderJics asante kwa kumdongoa Pascal Mayalla
Hongera kwa kulitambua hiloHakuna demokrasia hiyo shule mwalimu mkuu mwanaume Na mwenyekiti wa tume iliyosimamia uchaguzi mwanaume Na wewe mayala uliyeleta hizi habari mwanaume.Mfumo dume tupu hadi kwenye ofisi yako mayala.Lakini pia ulichoandika ni aibu Kwa taaluma ya habari.Hujaweka takwimu angalau ungeonyesha hiyo shule ina wasichana wangapi Na wavulana wangapi ukaweka sasa matokeo MTU aone maana kama shule labda ina wasichana 100 Na wavulana 8 unategemea matokeo yaweje? Waandishi wengi wa habari ukiwemo Mayala ni janga la kitaifa kwenye Tasnia ya habari.Halafu utakuta mnasifiana ujinga utasikia hii habari imeletwa Na mwandishi mkongwe Na nguli Pascal Mayala!!!!!!! Aibu
Siku nyingine ukisoma thread yoyote usome kama mtihani hii ndiyo JF tofauti na fb,Hata nikuuliza kwanini JF sijaandika jf huwezi kujibu kwa sababu hujaona tofauti,Tanzania ya wasomi wajingaPascal wewe ni kigeugeu sana aka Kinyonga. Hivi majuzi kwenye sakata la Mh Rais kuchagua wanaume sita kwenye Bunge, ulijinasibu na kutetea hoja yako kuwa hakuna wanawake wenye uwezo wa kuteuliwa kuwa Wabunge. Ulipigilia msumari tena kuwa hujaona hapa Tz.
Leo tena umejitokea na kuanza kuzungumza kivyako. Sasa uelewekeje? Au unajaribu kujitakasa?
Au unaitangaza shule?
Rejea uzi wako,
Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
Wazazi wako hawakupoteza ada Mkuu,hongera kwa kumuelewa Pascal,Mimi simlaumu kaka Pasikali!kwa wataalamu wa lugha kuna kitu kinaitwa kejeli hasa kwenye sanaa ya lugha!Ukisoma maandiko mengi ya kaka pasiko(kumradhi pasikali) utabaini huandika kwa unyume fulani hivi.Atasifu pasipo hitaji kusifu!hiyo ni kejeli na lengo linakuwa kujiweka ktk nafasi salama ili asijenaswa kwa uchochezi!Lakini wakati huo anakuwa ameiacha kaumu ktk tafakuri na mjadala wa mkali ambao mwishowe hufanikiwa kung'amua kilichofichwa nyuma ya andiko.Shaaban Robert ni mfano mzuri wa watunzi wa fasihi andishi ambao waliandika mambo kwa kuficha sana ili kuepuka makucha ya hayati J.k.Nyerere.Si twakumbuka kilichompata Kezilahabi?
Lengo kuu ikikuwa kutoa kejeli na funzo kwa taifa na serikali!Kuwa tumeshindwa kuenenda ktk misingi ya demokrasia hadi watoto wadogi wanatushinda!Tunachowaunza watoto ktk somo la uraia sicho tukitendacho!Chama dola na serikali kupitia tume yake ya uchaguzi vimenangwa ktk bandiko hili.
Lakini pia ktk upande wa pili,bwana Pasikali ni mjanja sana.Najiuliza alipata wapi taarifa za hayo yote?kuanzia kampeni mpaka uchaguzi?maana maelezo yako detailed mno!kwamba ni mnufaika ktk hiyo shule?anaitangaza kijanja!kuwa ewe mzazi hapa ndipo mahala sahihi pa kumkuza mwanao-awe kiongozi thabiti wa baadaye!Huo ni mchezo wa sanaa kwetu waalimu wa masomobya sanaa(hasa kiswahili) tunafurahia namna lugha ya kiswahili inavyomea-ingawa hatujaajiriwa!.
Pascal wewe ni kigeugeu sana aka Kinyonga. Hivi majuzi kwenye sakata la Mh Rais kuchagua wanaume sita kwenye Bunge, ulijinasibu na kutetea hoja yako kuwa hakuna wanawake wenye uwezo wa kuteuliwa kuwa Wabunge. Ulipigilia msumari tena kuwa hujaona hapa Tz.
Leo tena umejitokea na kuanza kuzungumza kivyako. Sasa uelewekeje? Au unajaribu kujitakasa?
Au unaitangaza shule?
Rejea uzi wako,
Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
Exempt me being one of GT.Muwe mnamsoma kwa utulivu Mayalla nadhani mtamuelewa. This is home of GT
Utakuwa umeingia kanisa au msikiti usio wa kwako, hapo wewe ni kula kona tuu. Maana ya humo sio yako.Exempt me being one of GT.
Haya nifafanulie....
Paschal ametuma ujumbe mzuri kweli, wachache tumemwelewa.Mkuu JF imevamiwa uelewa wao mdogo hawa ndiyo shida kwenye Jamii hata lugha yao tu kiswahili wameshindwa kuelewa pascal alikuwa anamaanisha nini
Mnatetea uozo Kwa kutumia lugha fumbika Mr mzima mayala kachemka.kiafrika mtu mzima akijamba mbele za watu husingzia mtoto.uandishi wa mayala uko chini ya kwango kwa standard zote.Acheni kutetea uongo mnalea uozo kwenye tasnia ya habariKaka Pascal Mayalla, nimeupata ujumbe wako ulioulenga. Hukulenga uchaguzi wala demokrasia. Umelenga teuzi zinavyoendelea kutupendelea. Bravo!
Mkuu Yehodaya, kwenye news kuna kitu kinaitwa "hard news" na "soft news", kwenye hard news ndipo all the facts huwekwa, kwenye soft news, cha muhimu ni main theme ambayo ni "wanawake wamewashinda wanaume".Hakuna demokrasia hiyo shule mwalimu mkuu mwanaume Na mwenyekiti wa tume iliyosimamia uchaguzi mwanaume Na wewe mayala uliyeleta hizi habari mwanaume.Mfumo dume tupu hadi kwenye ofisi yako mayala.Lakini pia ulichoandika ni aibu Kwa taaluma ya habari.Hujaweka takwimu angalau ungeonyesha hiyo shule ina wasichana wangapi Na wavulana wangapi ukaweka sasa matokeo MTU aone maana kama shule labda ina wasichana 100 Na wavulana 8 unategemea matokeo yaweje? Waandishi wengi wa habari ukiwemo Mayala ni janga la kitaifa kwenye Tasnia ya habari.Halafu utakuta mnasifiana ujinga utasikia hii habari imeletwa Na mwandishi mkongwe Na nguli Pascal Mayala!!!!!!! Aibu
Mkuu MKWEPA KODI, kwanza usikwepe tena kodi.Huko hakuna jecha, lubuva wala kailima ndiyo maana demokrasia imeshamiri, maccm yanatuharibia nchi Ndugu yangu mayalla