Shule ya msingi UK: Ruksa kwa watoto wa kiume kuvaa SKETI

Sketi na suruali ni mavazi tu na yote yameletwa na hao hao wazungu.

Ninyi sasa ndio mmegeuka vinara wa maadili kujifanya mnajua sana sketi na suruali zinavyotakiwa kuvaliwa.

Mbona babu zenu walivaa magome ya miti yaliyokuwa hayaeleweki kama ni sketi ama suruali!!!

Dunia ina mambo mengi sana muhimu kuliko kujadili nani avae nini.
 
Sketi na suruali ni mavazi tu na yote yameletwa na hao hao wazungu.

Ninyi sasa ndio mmegeuka vinara wa maadili kujifanya mnajua sana sketi na suruali zinavyotakiwa kuvaliwa.

Mbona babu zenu walivaa magome ya miti yaliyokuwa hayaeleweki kama ni sketi ama suruali!!!

Duniani ina mambo mengi sana muhimu kuliko kujadili nani avae nini.
kuna jimbo moja US sijui wameishia wapi, ila walikuwa wanaandaa utaratibu katika public toilets mtu achague kwenda choo chochote bila kujali ni jinsia gani, au bila kujali kama choo hicho ni cha ME au KE.

wanaoshangaa ni wazungu haohao sisi tunamalizia tu.
hapo inatengenzewa unisex.
 
We jamaa unaongea nn? Mbona hata wazungu wa huko huko wana shangaa.
Hizo nguo zina represent jinsia ndio maana lazima tushangae mtoto wa kiume kuvaa sketi.
Umeongelea magome ya miti, huo ulikuwa utamaduni wetu, tukiurudisha hiyo ni ishu ingine na hata uvaaji wa magome wanawake walivaa kiaina yao na wanaume walivaa ki aina yao.

lakini wao waingereza haujawahi kuwepo utamaduni wa mtoto wa kiume kuvaa sketi shuleni. Kwa hiyo wacha tushangae hii ishu serikali za huko majuu ndio zina impose hayo mambo. Ila wapo aengi tu huko huko wasio kubali
 
Kwahiyo wanawake wanaovaa suruali wana represent jinsia ipi???
 
kuna jimbo moja US sijui wameishia wapi, ila walikuwa wanaandaa utaratibu katika public toilets mtu achague kwenda choo chochote bila kujali ni jinsia gani, au bila kujali kama choo hicho ni cha ME au KE.

wanaoshangaa ni wazungu haohao sisi tunamalizia tu.
hapo inatengenzewa unisex.
Unisex inatengenezwa kwa sketi???
 
Unisex inatengenezwa kwa sketi???
mkuu, unisex kwa maana jamii iliyovurugwa. hutaweza kutambua ke au me hadi umuulize.
ref;
Unisex
a style in which men and women look and dress in a similar way.
google dictionary
au kwa ufupi wikipedia
UNISEX = Gender Blindness
 
Hakuna Kapicha ka Scotland??
.
Uk%20School.jpg
Scotland.jpeg
 
Scotland wanaume huvaa sketi...

Cc: mahondaw
56a8d086f78fdef098ba8a11e5ca09df.jpg

sio scotkand tu hata hawa papua new guinea
4630642-3x2-940x627.jpg

hao ni culture yao. na sio kila skirt ni skirt maalum kwa wanaume na sio kila skirt.

Ila ukisoma habari, inaongelea mahali ambapo skirt ni vazi la mtoto wa shule wa kike, na mvulana ni suruali.
na jamaa mmoja kwenye hiyo habari anasema lengo ni kuwa mwisho wa siku lengo ni kuwasaidie watoto wa shule ya msingi wawe na uhuru kuchagua uanamme wao au uanakike wao bila kujali jinsia yao.
hiyo dogo anaweza kuamua kuwa shoga,msagaji, au chochote akiwa shule ya msingi.
kusaidia hayo maamuzi, anapendekeza "gender neutral uniforms" ili dogo akigraduate shule bila kujali ni wakike au wakiume achague upande wowote.

ndio maana nimesema,
Siku za mwisho mkuu...
 
Back
Top Bottom