Shule ya mafunzo ya mbwa

Vita tena mkuu?
 
Nenda kituo cha Polisi uwaulize unaweza kupata jibu sahihi mkuu.
Angalizo: Usikubali askari akuambie atakufundishia kwa njia za upenyo
Kikosi cha mbwa na farasi hawatoi mafunzo ya mbwa wa raia, njia pekee ni kuongea na askari akufundishie au akufundishe kivyako
 
Huyu dog achana nae si unaona mpaka ana six part, Maamuzi yake na akili zake zinamtosha yeye tu afai hata kwa familia, anajifanyaga ana hasira hadi ansahau mmiliki anamng'ataView attachment 887596

Hila Rottweiler ni mtata sana zaidi ya huyu mziki wa Rottweiler mwingine alafu Huyu mbwa abweki bweki hovyo kwangu Rottweiler ndo balaa mpaka uwe na kibali maalumu kufuga rot
 
Hila Rottweiler ni mtata sana zaidi ya huyu mziki wa Rottweiler mwingine alafu Huyu mbwa abweki bweki hovyo kwangu Rottweiler ndo balaa mpaka uwe na kibali maalumu kufuga rot
mmmh uwe na kibali maalum kumfuga RW?
hii imeanza lini?
mbona tunapotoshana?
 
Huyo mbwa lazima uwe na mapene ya kumlisha vizuri na uangalifu wa hali ya juu,mimi na machizi wangu enzi tulikuwa tumejifungia chumbani na milango na madirisha tumefunga huku tanacheza Fifa na kuvuta bhangi moshi kibao kumbe mbwa hapendi na kuongea hawezi,akaanza kuunguruma miungurumo fulani hivi basi mshikaji wangu akampiga kofi kumwambia shut up alivyomchenjia mshikaji hakuamini ka ni mbwa wake,ilibidi apelekwe kwenye mamlaka husika na kupigwa sindano ya kifo.kwa kifupi it's a Gangsta related dog.
 
Vita tena mkuu?
Ndio mkuu hao jamaa hawafai yani wapo aggressive kupita kiasi jaribu kupitia online ucheki videos wakat wana attack.
Wavyoingiza zile powerful jaw kwenye human fresh yani hutazami mara mbili.
 
Chaguo bora German shepherd yani ukimchukua ukapata mwalimu mzuri akam-train utampenda huwa ni mdhibiti mzuri wa uhalifu pasipo kuacha madhara makubwa. Kuna jamaa anawafuga shepherd sasa mwizi alijichanganya akaruka fensi akaingia ndani basi alibananishwa kwenye kona ya ukuta mpaka asubuhi mmiliki anaamka anamkuta mwizi kapigwa freeze na mbwa. Angekuwa pitbulls mh?
 
Hila Rottweiler ni mtata sana zaidi ya huyu mziki wa Rottweiler mwingine alafu Huyu mbwa abweki bweki hovyo kwangu Rottweiler ndo balaa mpaka uwe na kibali maalumu kufuga rot
Mkuu we bado ujamwelewa vizuri pitbull ni nani ila Ingia online umcheki vizuri do utajua utofauti na rottie
 
Mkuu we bado ujamwelewa vizuri pitbull ni nani ila Ingia online umcheki vizuri do utajua utofauti na rottie
Nina jamaa yangu anafanya biashara ya hawa viumbe wa aina mbali mbali. Anao wengi tu. Lakini, wakati wa kula, hao Pittbul huwa hawachanganyi na wengine. Anaweza kuwa na umbile dogo, lakini vita vyake, wakati mwingine mpaka mpinzani wake afe! Atakaposhika, haachii na meno yake kama msumeno.
 
Kh
Rottweiler mpaka uwe na kibali cha police na uwe na uzio mrefu sana yule ndo hatari watu wanasema Put bul nawaangalia nasema hiiii
Khaa watanzania waongo bwana.Mbwa hao wamejaa mitaani halafu wewe unapiga watu kamba humu
 
Haswa umewaelewa mkuu yani huyo kushindwa kwake anapoamua kupambana ni kufa ndo kuridhika kwake
 
Ushauri chukua german/ belgian sherphed au siberian husk.Huyo pitt muda wowote anakichafua hawana uvumilivu kabisa hao yani ata chakula akose anakuzingua.
 
Kh
Khaa watanzania waongo bwana.Mbwa hao wamejaa mitaani halafu wewe unapiga watu kamba humu

Rottweiler yupi ayo machotara ya Rottweiler ndo unasema Rottweiler pure unajua bei yake unayoyaona yamechanganya damu ayo na mbwa nyingine kwenye mbwa unidanganyi kitu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…