Shule ya mafunzo ya mbwa

Huyu dog achana nae si unaona mpaka ana six part, Maamuzi yake na akili zake zinamtosha yeye tu afai hata kwa familia, anajifanyaga ana hasira hadi ansahau mmiliki anamng'ata
 

Karibu mkuu
 

Attachments

  • IMG_0214.JPG
    96.4 KB · Views: 46

 
Pamoja sana mkuu
Bora mara mia hao
Unajua anapo attack anarukia kende tu yaani haendi usoni wala mkono ni katikati tu hapo hata ngumi huwezi tupa unalegea mwenyewe
Yani huyu jamaa anajua sehemu za kumkalisha adui fasta nimekuwa nikifuatilia visa vyao aisee wanatisha kuna mmiliki aliwahi kuchomolewa koromea yani kisa alikuwa anawasevia msosi mdogo. Hii breed haijawa purposely kwa ajili ya ulinzi labda kwa ajili ya vita.
 
Ni kweli mkuu hawa ni vitani tu ndio panawafaa lakini sio kumkaribisha nyumbani.
 
Mkuu,kuna taratibu zozote kisheria za tz ninazopaswa kufuata ili nimiliki hao Rottweiler?
Hamna mkuu, ni mbwa km mbwa wengine, ila swala linakuja kwako unaamini una vigezo vya kumiliki Rottweiler, namaanisha msosi, huduma za veterinary, afya nzima kiujumla ya huyo Dog, chanjo n.k, unabidi uwe una bajeti na ratiba ya kumhudumia, else hautaweza kumwelewa vizuri
 
Unataka ufuge kwa ajili ya ulinzi tuu? uliisha wahi kufuga Mbwa? namaanisha hawa G.S au Rot?
kama huna kipato cha uhakika au hujawa tayari na Bajeti yake kamili Hii breed haikufai kabisa, Udhaifu wao ni (OBEDIENCE)utii mdogo wakiwa hawapo vizuri (mazingira, lishe)
BTW Sikumbuki kama hii Pure breed imeruhusiwa hapa kwetu ila nimewaona cross Breed tu
 
Mkuu,wewe tafuta urafiki na askari Polisi wa kikosi cha Mbwa na Farasi,mwambie shida yako atakusaidia.Njia rahisi ya kuwapata ujenge mazoea ya kuhudhuria Police Mess hata ikiwa hunywi bia nunua hata maji tu.
 
Kuna mtaalam anaitwa Elia maeneo ya mbagala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…