Nashukuru kwa elimu mkuu. Acha mi niendelee kujibaraguza na hawa German shepherd wangu.Believe me mkuu, sioni utofauti wake this dog is the most aggressive
Yaani hata ukipishana na mtu amemshikilia ni lazima asimame amdhibiti mpaka upite
Hana urafiki ni ushari tu kama Koboko
Duh... haya ni madogi au mashetani?
Hapana si kweli.Mkuu ww ni mtu watano unanitisha. Mm nimeambiwa hawa mbwa ndo wazur sana kwa ulinzi na ni wepesi kushika mafunzo. Nzur zaid nasikia uwezo wao wa kunusa ni mkubwa mno. Anaweza kunusa harufu ya kitu umbali wa mita 120,hii inamaana Pitbull mmoja anatosha kung'amua uwepo wa mtu mgeni ndan ya nyumba kwakunusa harufu tu na anachukua hatua kumdhibiti mtu huo.
Pamoja sana mkuuNashukuru kwa elimu mkuu. Acha mi niendelee kujibaraguza na hawa German shepherd wangu.
Huyo ndio pitbull mwenyewe anaeongelewa hapa!Duh... haya ni madogi au mashetani?
Duh! Ahsante,nimeelewa mkuu. Vp kuhusu German Shepherd?Usisikilize ya watu kwani huyu kiumbe mimi huwa namfananisha na black mamba kwa nyoka.
Kuna familia nakumbuka walikuwa sio mbali sana na nilipokuwa naishi miaka ya nyuma (sio tz)
Walikuwa na hili jibwa la kutisha walizoeana mpaka mtoto wao wa miaka 2 akawa anacheza nae, basi siku moja walimuacha mtoto akiwa anacheza nae garden ya nyuma wakasikia kelele
Kuja kutahamaki pit bull alikuwa anamchana chana kama toy.
Na huo ukawa mwisho wa uhai wa mtoto na mbwa aliuwawa na police.
Sikutishi ila sasa huku niliko ni lazima umsajili kama utapata kibali na pia lazima umuwekee insurance kama likitokea jambo fidia ipatikane na la muhimu zaidi ambayo ni lazima kila wakati uwe umemfunga chain au kamba na mdomo ukiwa umefungwa kama picha inavyoonyesha.
Hawa sio mbwa kaa nao mbali tafuta wengine View attachment 887496
Wazuri mzeee. Fuga tu hawana tabuSitaki hata kuyaona
Huyo Rot na pitbull nan ana afadhali mkuu?Km unataka wa ulinzi mkali mtafute Rottweiler, otherwise German Shepherd pia anafundishika vizuri sana, ila Rott ni msala
Tatzo hyo sifa ya kutokuwa na rafiki wa kudumuHamna mkuu, dogs wote ni smart, hasahasa hao pure bred,
Nitashukuru mkuuNgoja nikutumie namba mkuu
Duh! Nashukuru mkuuNachokushauri usije kujaribu kununua mbwa aina ya Pitbill, hakuna mbwa hatari duniani kama huyo hata baadhi ya nchi ni marufuku kufuga. Anatumika kuwindia ay kupiganisha na mbwa wengine kwenye mashindano. Hafai kufugwa, wazungu wenyewe wanamfunga mdomo kwa kifuniko cha wavu kisa balaa lake.
Chunga sana mkuu.
Si hao tu hata Rottweiler usijiloge kununua, mbwa huyo anaweza kuruka na kuvuta koo la binadamu kwa meno. Anaua mtu.
Nunua German stepherd ndiyo akapewe mafunzo, huyo ni hatari ila kidogo ana nafuu akiwa na mafunzo si hatari.
Pitbull na Rottweiler hata wawe na mafunzo ni hatari kwa binadamu vilevile.
Yaani ulivyo mfananisha na nyoka koboko mwili mzima umesisimka. Kamay ule nyoka ni shetani basi huyu dogi atakuwa ibilisi... simtaki hata kwa kupewa bure
Nataka wa ulinzi but awe mkali sanaKitu kingine, mbwa malengo gani? Ulinzi nyumbani au pet au pambo fulani?
Police hupendelea German Shephard kwa kuwa anafundishika kirahisi. Wenzetu hutumia aina fulani kuchunga kondoo.
Mm nipo DarKwani huko uliko hamna mtu anajua shule ya mambwa wewe
Bora rot japo nae mtata ila anaeleweka, ila hyo jini kushindwa kwake mpaka afe anpoamua kufanya shambulioHuyo Rot na pitbull nan ana afadhali mkuu?
Nashukuru kwa ushauri mkuuKulingana na report za hawa jamaa wanaojiita inside dog world mashambulio mengi ya mbwa dhidi ya binadamu yanasababishwa na hawa pitbulls
Wanasema mbwa hao ni hatari sana kwasababu wako powerful na bites zao sio za kawaida. Pia hawatabiriki kwani wana independent decision yani wanatabia ya kufanya maamuzi au shambulio pasipo kupokea maelekezo ya mmiliki na siku zote mashambulizi yao huwa yanaacha serious injuries au death kwasababu huwa wanacheza na sehemu muhimu
Hii imepelekea kuna baadhi ya nchi kama Malaysia, Singapore na Ireland sheria haziruhusu mtu binafsi mbwa wa aina hiyo. Wataalamu wanashauri ni hatari kwa first time owner kumiliki mbwa wa aina hii
Kwahyo mkuu kwa ushauri kama unataka breed za nje ni bora uchukue German shepherd. Ila pitbull utasababisha majanga kwa familia.
Hahaha alinde mke wa bosi sio?Huyo ndio pitbull mwenyewe anaeongelewa hapa!
Una mke mzuri sana sky eclat,nakushauri fuga huyu kuepuka wezi.
YapHahaha alinde mke wa bosi sio?