Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 1,816
- 4,532
Shule ya Kikatoliki ya St. Edward jimboni Tennessee imetoa vitabu vya Harry Potter vilivyoandikwa na mwanamama J. K. Rowling baada ya Padri Dan Reehil kusema zinaweza kusababisha msomaji kuita mapepo.
Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” (watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.
Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.
Mkuu wa Dayosisi ya Nashville amesema Reehil ndiye mwenye kauli ya mwisho kwenye shule anayoiongoza na kwamba anaamini vitabu hivyo baeo vipo kwenye shule nyingine za kanisa katika Dayosisi hiyo.
=====
A Catholic school in Tennessee has removed the Harry Potter books from its library after the school’s priest decided they could cause a reader to conjure evil spirits.
In an email obtained by the Tennessean, the Rev. Dan Reehil of Nashville’s St. Edward Catholic School said he consulted exorcists in the U.S. and Rome who recommended removing the books.
Reehil wrote, “The curses and spells used in the books are actual curses and spells; which when read by a human being risk conjuring evil spirits into the presence of the person reading the text.”
Catholic Diocese of Nashville superintendent Rebecca Hammel said Reehil has the final say at his school. Hammel said she thinks the books by J.K. Rowling are still on the shelves of other libraries in the diocese.