Shule ya Kikatoliki yaondoa vitabu vya Harry Potter kutoka kwenye maktaba yake ikidai vina uchawi wa kweli

Mambo ya excorcism kanisa katoliki lina nidhamu sana na haya mambo japo mpakwa mafuta yeyote ( mapadri) wanaweza ku perform excorcism ila tu awe amepata ruhusa ya askofu
Kwani mapadre wanashindwaje? Kutoa mapepo.
 
Naanza kuelewa kwanini baadhi ya vitabu viliondolewa kunako Biblia, pia sababu ya baadhi ya ‘maandiko’ kurukwa na wasomaji hasa walimu.... maneno huumba.
 
Yah !! Kwa sababu: " hapo mwanzo kulikuwapo neno na hilo neno lilikuwapo kwa mungu, na bila hilo neno wala hapakufanyika kitu" ??????!!!!
 
Shule ya Kikatoliki ya St. Edward jimboni Tennessee imetoa vitabu vya Harry Potter vilivyoandikwa na mwanamama J. K. Rowling baada ya Padri Dan Reehil kusema zinaweza kusababisha msomaji kuita mapepo.

Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” ( watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.

Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Mkuu wa Dayosisi ya Nashville amesema Reehil ndiye mwenye kauli ya mwisho kwenye shule anayoiongoza na kwamba anaamini vitabu hivyo baeo vipo kwenye shule nyingine za kanisa katika Dayosisi hiyo.

=====

A Catholic school in Tennessee has removed the Harry Potter books from its library after the school’s priest decided they could cause a reader to conjure evil spirits.

In an email obtained by the Tennessean, the Rev. Dan Reehil of Nashville’s St. Edward Catholic School said he consulted exorcists in the U.S. and Rome who recommended removing the books.

Reehil wrote, “The curses and spells used in the books are actual curses and spells; which when read by a human being risk conjuring evil spirits into the presence of the person reading the text.”

Catholic Diocese of Nashville superintendent Rebecca Hammel said Reehil has the final say at his school. Hammel said she thinks the books by J.K. Rowling are still on the shelves of other libraries in the diocese.
Ukatoliki na kuroga, wapi na wapi?
 
Ni kweli na Padri huyo amefanya jambo muafaka kabisa,vitabu vya Harry Poter ni vya kishirikina kabisa.
 
Exorcism is only for priest appointed by bishop kwa taratibu rasmi za kanisa. Hili la Wakaristimatiki limeleta kelele nyingi lakini swala la mapadre tu tena aliyechaguliwa na askofu kutoa mapepo sio dogma! Ni utaratibu uliowekwa ambao hauna hata miaka 100 baada ya changamoto nyingi. Before kutoa pepo hata mlei aliruhusiwa.

Kazi ya wakaristimatiki ina baraka za Vatican ndio maana kwasasa wengine wananungunikia pembeni tu lakini hawana cha kufanya. Ipo miongozo lakini maaskofu wengi wameanza kuwaelewa na kuruhusu huduma kuendelea parokia nyingi.

Kupitia Karistimatiki sasa tunaona ushiriki huru wa walei kuhubiri injili na vipawa vyao kujenga Kanisa.

Kuanzia kesho nenda Emaus uone kazi ya walei kama hawa chini ya mapadre wetu.
IMG-20190919-WA0006.jpeg
 
Bora umesema mkuu
Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” ( watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.

Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Ingetokea bongo kashfa zingejaa viroba
 
Uongo mtupu ulioandika wakarismatiki mbona wanafanya na Wala Sio mapadri

Aliyekwambia wameruhusiwa ni nani haruhusiwi mkatoliki yoyote ku perform excorcism kama sio padri na kama mkatoliki ataruhusiwa basi ataruhusiwa pale ambapo hakuna padri wa kufika eneo hilo na akiruhusiwa “ hatumii rite ya kupunga pepo” anaambiwa asali “ general excorcism prayer ikiwemo sala ya baba yetu”

Kitu kama hukijui ni bora kukaa kimya nakufanya utafiti kwanza ujiridhishe sio unapinga bila hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom