Shule ya Kikatoliki yaondoa vitabu vya Harry Potter kutoka kwenye maktaba yake ikidai vina uchawi wa kweli

Ukitaka kujifunza uchawi tafuta vitabu vifuatavyo
Gadhali ya bibi
Gadhali ya babu
Na Gadhali ya mjukuu
Japo si rahisi kupata hivi vitabu lakini ukivipata vitakupa muongozo mzuri wa kuwa mchawi kumpita hata mchawi mshana Jr .Ni vitabu vinavyouzwa pesa nyingi sana iwapo ukivipata.Mimi ninacho kimoja tu Gadhali ya mjukuu kimesheheni mambo ya kutisha sana
 
Mitaani wakarismatiki tunaishi nao wanatoa mapepo Sana tu na sio mapadri

Tumia smartphone kujifunza ingia google soma soma soma walau upate hoja za kubishia.....hao wanakosea mfano me nikikuuliza je mtu mwenye mashetani unamjuaje je una uhakika kuwa ni kweli ana mashetani?

Utoaji wa mapepo kwenye kanisa katoliki huchua process ndefu ikiwemo mwenye pepo kuchunguzwa na daktari wa magonjwa ya akili au mtaalamu wa saikolojia watakapothibisha kuwa hana tatizo ndipo kanisa huchua hatua ya perfom excorcism

Kuna magonjwa mengine kama hysteria mtu akipata ni kama anakuwa na mashetani hivi sasa utapunga vipi pepo na mtu anatatizo la kisaikolojia?

Sasa je wakaresmatiki wanafata haya?
 
I am a big fun of Harry Potter... maneno ya spell zake yanafikirisha sana...

Hawana lolote hao, wanataka tu kumuangusha J.K Rowling...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom