Shule ya Kikatoliki yaondoa vitabu vya Harry Potter kutoka kwenye maktaba yake ikidai vina uchawi wa kweli

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,737
4,223
Shule ya Kikatoliki ya St. Edward jimboni Tennessee imetoa vitabu vya Harry Potter vilivyoandikwa na mwanamama J. K. Rowling baada ya Padri Dan Reehil kusema zinaweza kusababisha msomaji kuita mapepo.

Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” (watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.

Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Mkuu wa Dayosisi ya Nashville amesema Reehil ndiye mwenye kauli ya mwisho kwenye shule anayoiongoza na kwamba anaamini vitabu hivyo baeo vipo kwenye shule nyingine za kanisa katika Dayosisi hiyo.

=====

A Catholic school in Tennessee has removed the Harry Potter books from its library after the school’s priest decided they could cause a reader to conjure evil spirits.

In an email obtained by the Tennessean, the Rev. Dan Reehil of Nashville’s St. Edward Catholic School said he consulted exorcists in the U.S. and Rome who recommended removing the books.

Reehil wrote, “The curses and spells used in the books are actual curses and spells; which when read by a human being risk conjuring evil spirits into the presence of the person reading the text.”

Catholic Diocese of Nashville superintendent Rebecca Hammel said Reehil has the final say at his school. Hammel said she thinks the books by J.K. Rowling are still on the shelves of other libraries in the diocese.
 
Na hata vile vitabu vinavyozungumzia umaskini mashuleni hasa vile vya kiswahili sijui watoto wa mama ntilie, ngoswe, wasakatonge, joka la mdimu n.k.n.k watoee huko vinaleta umaskiniii.

Halaf eti ukikosea mauzui umefeliiii, nyambafu yaani umekaa miaka minne unakariri umaskiniii.

Haya ukija kwenye civics unafundishwa poverty, bado hujaelewa ukirudi kwenye history unafundishwa jinsi ulivyotawaliwa na mkoloni na alivyowapiga, yaani badala somo likupe maarifa linakupa huzuni.

Hivi sisi tumerogwa.
 
Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” (watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.

Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Ingetokea bongo kashfa zingejaa viroba
 
Padri huyo anasema aliwasiliana na “exorcists” ( watoa mapepo) nchini Marekani na Roma ambao walipendekeza vitabu hivyo vitolewe.

Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Ingetokea bongo kashfa zingejaa viroba
Mr mshana hilo lipoje
 
Hapa Brazil hivi vitabu vipo kwenye mtaala wa elimu yao ni kama sisi tunavyosoma ngoswe na watoto wa mama ntilie
 
Amedai maneno ya kichawi yanayotumika kwenye kitabu ni ya kweli na yanaposomwa yanaweza kupelekea uwepo wa mapepo mahala msomaji alipo.

Principally sumaku haiwezi kukamata ubao, inakamata sumaku mwenzake au chuma ambacho nacho kinausumaku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom