Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Naomba ushauri toka kwenu wataalamu wa taaluma na ufundishaji kutokana na tabia niliyoisikia ktk shule hii. Nina mtoto ninayemsomesha ktk shule hii ya Bendel memorial iliyoko moshi eneo la soweto, ambayo inaendeshwa na shirika la kikatoliki. Kwa ujumla matokeo yao ya mitihani huwa ni mazuri.

Tatizo kubwa ni uhusiano kati ya waalimu na wanafunzi wa shule hii. Ni miaka miwili sasa, mtoto anaporudi hadithi anayoisimulia ni wingi wa viboko unaotokana na maamuzi ya mwalimu yeyote ktk maeneo ya shule. Mshauri wa wanafunzi, yaani Patron hana ushauri anaotoa zaidi ya viboko.

Nilidhani ni utundu wa kijana wangu lakini hata jirani kalazimika kumuhamisha kijana wake kwa sababu hiyo hiyo. Wanafunzi wanapokuwa ktk maandalizi ya usiku, hiyo inayoitwa prep, kila wakati wanakuwa na wasi wasi maana patron akiingia huamua kupiga wanafunzi eti tu wanasoma wameinua vichwa, sic! Hata mlinzi wa shule anapiga wanafunzi viboko, eti tu ni usiku na anawasikia wakiongea.

Imani yangu hawa ni waalimu waliosomea, pamoja na yeyote aliyeko hapa ukumbini, hebu nipeni ushauri juu ya haya machache maana yapo mengi ambayo nadhani yanaharibu maana ya shule na huenda yatawaathili wanafunzi. Je, mtindo huu ni wa kawaida ktk ufundishaji?

Maana labda mimi kama mlezi namkinga sana kijana huyu!
Mbona uandishi kama wa mwanafunzi lakin??? Ila nikukumbushe kama ni ya kikatoliki labda wanafuata methali 22:15 kua "ujinga umejefugwa ndan ya moyo wa mtoto nayo fimbo ya adhabu hufukuzia mbali" ww hama uende shule ingne maana naisi ww ni mwanafunz wa hapo!!!
 
Naomba ushauri toka kwenu wataalamu wa taaluma na ufundishaji kutokana na tabia niliyoisikia ktk shule hii. Nina mtoto ninayemsomesha ktk shule hii ya Bendel memorial iliyoko moshi eneo la soweto, ambayo inaendeshwa na shirika la kikatoliki. Kwa ujumla matokeo yao ya mitihani huwa ni mazuri.

Tatizo kubwa ni uhusiano kati ya waalimu na wanafunzi wa shule hii. Ni miaka miwili sasa, mtoto anaporudi hadithi anayoisimulia ni wingi wa viboko unaotokana na maamuzi ya mwalimu yeyote ktk maeneo ya shule. Mshauri wa wanafunzi, yaani Patron hana ushauri anaotoa zaidi ya viboko.

Nilidhani ni utundu wa kijana wangu lakini hata jirani kalazimika kumuhamisha kijana wake kwa sababu hiyo hiyo. Wanafunzi wanapokuwa ktk maandalizi ya usiku, hiyo inayoitwa prep, kila wakati wanakuwa na wasi wasi maana patron akiingia huamua kupiga wanafunzi eti tu wanasoma wameinua vichwa, sic! Hata mlinzi wa shule anapiga wanafunzi viboko, eti tu ni usiku na anawasikia wakiongea.

Imani yangu hawa ni waalimu waliosomea, pamoja na yeyote aliyeko hapa ukumbini, hebu nipeni ushauri juu ya haya machache maana yapo mengi ambayo nadhani yanaharibu maana ya shule na huenda yatawaathili wanafunzi. Je, mtindo huu ni wa kawaida ktk ufundishaji?

Maana labda mimi kama mlezi namkinga sana kijana huyu!
Nina wasiwasi kama ww ni mzazi kweli au jirani wa mzazi,umeshasema kuwa wana matokeo mazuri shule hiyo NA hilo inawezekana linasaidiwa na viboko ss inakuwaje na ww uanze kupiga vita mwanao asichapwe?ina maana unataka kufanana akili na mwanao?si jambo la ajabu kupigwa fimbo,nikupe mfano wangu,nilikuwa mtoto wa muhasibu wa chuo fulani cha ualimu na kumbuka enzi zile hakukuwa na kulipwa kupitia akaunti bali ilikuwa kupitia dirishani hivyo muhasibu aliheshimiwa sana but nikiwa Std 7 tulifanya mtihani wa kata na mimi ndo nilikuwa kichwa cha shule but katika matokeo kuna dogo kutoka shule ya kijijini zaidi alinipiga gap kidogo mi nikawa wa pili ktk kata,aisee nilipigwa fimbo zipatazo 28 maana kila mwalimu alinipiga fimbo 2 kisa mm ndio tegemeo kwa nn nimeshindwa na mtoto toka shule ya porini?Kiukweli nilikasirika sana but sikujaribu kumwambia mzee maana najua angeweza kuniongeza.Sasa wewe mzazi kweli unataka kumuharibia future mwanao eti kisa fimbo???au maendeleo yake hayaendani na kasi ya fimbo?Kama ana maendeleo mazuri achana kabisa na suala hilo tena mwambie ndo vizuri uchapwe ili ufanye vizuri zaidi,ila yote hii kama unampenda mwanao ila kama humprndi una hiari kumuhamisha mbona shule wasizochapa zipo nyingi ila usiwaharibie wazazi wenzio kuwashawishi wawahamishe watoto wao kama wewe.
The end.
 
Mtoto apigwe ila sio kwa kupitiliza, pia kosa lingine sio la kupigwa ni kuambiwa....sasa hadi mlinzi anapiga watoto?? V

Viboko vinauma jaman mnaosem wapigwe tu mnamaana gani???? Mimi mwenyew niliacha MADRASA kwa ajili ya kipondo niliona alhamdu kuijua tu inanitosha
Hasara uliyonayo leo hii amini ni kubwa kuliko unavyofikiria kukimbia madrasa,yawazekana mlinzi kapewa mamlaka hayo baada ya watoto kumdharau kupita kiasi yy ni mlinzi tu,si unajua kuna watoto ambao wana adabu za majitaka?
 
Kama wanapiga wanafunzi mpaka kuzimia ni vizuri sana, tena wawakataze kabisa kusikiliza bongo fleva wafuate maadili ya kitanzania tu.
 
Hasara uliyonayo leo hii amini ni kubwa kuliko unavyofikiria kukimbia madrasa,yawazekana mlinzi kapewa mamlaka hayo baada ya watoto kumdharau kupita kiasi yy ni mlinzi tu,si unajua kuna watoto ambao wana adabu za majitaka?
Sina hasara niliyopata....uko madras bola angenipiga Ostadhi..tulipigw sana na wale vijana wakubw kias wanaochiw majukum... Baba yangu kasoma sana dili alinifundish bila kunipiga na aliniketea mwalim home jion.

NB. Mimi mwenyew mwanangu nimempeleka madrasa ila nikamuelez kilichonipataga nyuma na nimemsisitiza mwanangu apigwe inapobidi sio hata AKIJAMBA ampigwe NOOooo

Twende kwenye mada.
Uyo mlinzi hapaswi kupiga watoto ....sawa wa huyu tumwache na uyo wa jilani yake hadi kumwamisha nalo unasemaje......
 
Kwani wewe ni mzungu (European)? Mtoto wa mwafrika bila viboko ni upotezaji wa muda tu.
 
Tatizo sio fimbo tatizo ni fimbo kupita kiasi hasa mkishakuwa na stress za kutibuliwa na waume zenu asubuhi asubuhi hasira zote mnatka mzimalize kwa watoto hii sio sawa!!!
We acha tu, hata watoto wao hawawachapi hivyo, ya utafikiri watoto wa walimu wana tabia
 
nakushauri mwachishe shule ukae naye home au mpeleke shule za serikali ambapo mwalimu akitaka mchapa Mtoto wako anakupigia simu kukuomba kwanza......
 
nakushauri mwachishe shule ukae naye home au mpeleke shule za serikali ambapo mwalimu akitaka mchapa Mtoto wako anakupigia simu kukuomba kwanza......
We ni mwalimu? Ulisomea kufundisha binadamu au wanyama wa kufugwa? Nahofia tusijekuwa tunapambana na waalimu wa mbwa pale kurasini.
 
kazi kwenu walimu,ila mwanangu humchapi nakufuata uko uko lol nyie ndio mnaharibu watoto psychologically wanakua traumatized shule wanaona kama kituo cha police,utoro na hii inaweza kuaffect performance yao,.....mnajisahau sana,
 
Biblia inaruhusu mtoto achapwe, soma Proverbs Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,lakini fimbo ya adhabu itaufukuzilia mbali. 22:15 vizuri utaona,Ndio maana kizazi cha sasa ni kidhaifu kweli, Watoto wanatabia mbaya hakuna heshima kbsa,wazazi wanavuna walichopanda
 
Nakuunga mkono kabisa. Kuna wamiliki na waalimu wanaodhani elimu ni kushinda mtihani. Akipitisha wote division one anadhani ametoa elimu bora. Elimu ni mkusanyiko wa mambo mengi.

Adhabu za kishenzi kama hizo, zinamjenga akili gani mtoto? Awe mwoga? Awe mtu wa kusema ndiyo kwa hofu ya viboko? Mtoto anapata division one kumbe bonge la mshenzi kama waalimu wake wa aina hii ya akina dabaga6
 
Fimbo ina umuhimu ukipingana na fimbo za walimu wa shule kwa wanao.

Jiandae kwa mwanao kuadhibiwa na fimbo za ulimwengu.
 
Biblia inaruhusu mtoto achapwe, soma Proverbs Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,lakini fimbo ya adhabu itaufukuzilia mbali. 22:15 vizuri utaona,Ndio maana kizazi cha sasa ni kidhaifu kweli, Watoto wanatabia mbaya hakuna heshima kbsa,wazazi wanavuna walichopanda
Hizo shule zinaendeshwa kwa sheria za biblia au mitaala ya elimu? Mbona hujapiga mawe wazinzi? Shithole brain!
 
Fimbo ina umuhimu ukipingana na fimbo za walimu wa shule kwa wanao.

Jiandae kwa mwanao kuadhibiwa na fimbo za ulimwengu.
Adhabu siyo ya kupanga. Ukiona mwalimu anadai haki ya kuchapa mtoto, elewa atatafuta sababu ya kuchapa ili atimize hali yake. Ndo wale wanaokuja darasani na chaki, kitabu na fimbo kama zana za kufundishia. Kila wakati anatamani kuchapa.
 
Hivi watoto wa kizazi hiki umpige bila sababu si atakupiga ngumi teh make hata akiwa na kosa tu unamchapa anakutolea macho ndo ukamuonee?mmh mwalimu hajipendi
Nimependa moja ya sentensi zako kuwa humpigi mtoto wa MTU kumkomoa.
 
Je, wewe ukikosea unastahili adhabu ya viboko? Kama wewe hustahili adhabu hiyo unapokosea, kwa nini iwe sawa kwa mtoto?
Nimejaribu kupitia comments ktk huu uzi,niseme tuu hii comment yako ni ya kipumbavu haswaa,

Nikwambie tuu?
Mtoto siku zote anaonywa kwa fimbo tofauti na mtu mzima
 
Hii shule ya bendel hadi wapishi wanaruhusiwa kuchapa wanafunzi
Ndio nzuri hio shule,yaan mwanangu akianza shule nitakuwa karibu sana na walimu na nitawaeleza mwanangu anapofanya kosa basi viboko vihusike on the spot
 
Back
Top Bottom