Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Pamoja na mazuri unayoeleza, tusiwachoke watoto wetu na kudhani mashuleni watatusaidia kuwabadilisha. Na kama unavyosema, isije ikawa ni njia ya kuwalainisha ili wawaingize kwenye mambo ya ki anglikana.

Ni ajabu kuruhusu mlinzi kutoa adhabu ktk shule. Hiyo inaonyesha hakuna mpangilio wa utawala. Hata kama mwanafunzi kamtukana mlinzi, hatua muhimu ni kufuata mpangilio wa utawala hadi muhusika atoe hukumu na adhabu. Kwani mlinzi anajua ethics za ualimu? No! No!

Munaowasiliana na mkuu wa shule hiyo tunaomba apate taarifa hii.
mlinzi hawezi kuwa mlezi wa mtoto?? akili ndogo hufikiri kidogo
 
Nina wasiwasi kama ww ni mzazi kweli au jirani wa mzazi,umeshasema kuwa wana matokeo mazuri shule hiyo NA hilo inawezekana linasaidiwa na viboko ss inakuwaje na ww uanze kupiga vita mwanao asichapwe?ina maana unataka kufanana akili na mwanao?si jambo la ajabu kupigwa fimbo,nikupe mfano wangu,nilikuwa mtoto wa muhasibu wa chuo fulani cha ualimu na kumbuka enzi zile hakukuwa na kulipwa kupitia akaunti bali ilikuwa kupitia dirishani hivyo muhasibu aliheshimiwa sana but nikiwa Std 7 tulifanya mtihani wa kata na mimi ndo nilikuwa kichwa cha shule but katika matokeo kuna dogo kutoka shule ya kijijini zaidi alinipiga gap kidogo mi nikawa wa pili ktk kata,aisee nilipigwa fimbo zipatazo 28 maana kila mwalimu alinipiga fimbo 2 kisa mm ndio tegemeo kwa nn nimeshindwa na mtoto toka shule ya porini?Kiukweli nilikasirika sana but sikujaribu kumwambia mzee maana najua angeweza kuniongeza.Sasa wewe mzazi kweli unataka kumuharibia future mwanao eti kisa fimbo???au maendeleo yake hayaendani na kasi ya fimbo?Kama ana maendeleo mazuri achana kabisa na suala hilo tena mwambie ndo vizuri uchapwe ili ufanye vizuri zaidi,ila yote hii kama unampenda mwanao ila kama humprndi una hiari kumuhamisha mbona shule wasizochapa zipo nyingi ila usiwaharibie wazazi wenzio kuwashawishi wawahamishe watoto wao kama wewe.
The end.
Niliwahi kuona comment hii. Leo hii unaposikia mtoto amefariki kwa kipigo cha mwalimu, bado akili yako iko kama mwanzo au siku hizi umeelimika?
 
Imebidi thread za watoto kuchapwa mashuleni zifukunyuliwe
 
Imebidi thread za watoto kuchapwa mashuleni zifukunyuliwe
Ktk thrd hii naona kuna kundi, nadhani la waalimu wanaodai haki ya kuchapa watoto. Baadhi ya wazazi nao wanaamini lazima watoto wao wachapwe sasa yakitokea mambo kama haya, yanathibitisha umuhimu wa kuzuia hilo. Hata kama ni mmoja, kwa mzazi wake hiyo ni pigo la maisha yake yote na hahitaji kusubili wawe wengi.
 
Nadhani shule za Kikatoliki ndivyo zilivyo, jamaa wangu hufundisha pale Kristu Mfalme Tabata, wanapiga balaa. Usiogope, wale ni wataalamu na wanajua wanachofanya.

Usiogope, inawezekana mwanao unamdekeza sana, hajazoea kuchapwa au unaumia sana kuona anachapwa. Hakuna tatizo kwenye viboko vya adhabu, hayo ya saikolojia sijui blah blah ni ya wazungu.

Kumbuka watoto pia wana tabia ya kukuza mambo wanapokuwa wanashitaki, usiwatilie sana maanani, lakini usipuuze concern zao. Mfano kama anasema amepigwa sana muambie akuoneshe mahali alikochapwa, kama hakuna madhara yoyote ya kimwili basi hakuna la kuhofu.

Tatizo langu na shule za Kikatoliki ni ule mchezo ambao huwa wanawafanya watoto wa kiume huku tukiwavumilia kwa kuwa ni wawakilishi wa Mwana wa Mungu.

Karibu!
Uliwahi kusema hayo kwa uhakika na ufahamu wako. Je, hili la Bukoba utasema ni bahati mbaya kama waziri huyu mzembe?
 
We ndo umewaza mchunguzi ni housemaid mi nimemjibu kama mzazi
Sina watoto wa kunichosha mtoto wangu ndo kwanza hata mwaka hajafikisha na sidhani kama atakuja kunichosha make hakunaga tembo anaechoshwa na mkonga wake
back to topic, nlivomwambia huyu hata mzazi mwingine ntamwambia pia, shule nnayofundisha wanakujaga wazazi na malalamiko haya haya mara mtoto siju kapewa adhabu, mara kachapwa utakuta mtoto mwenyewe hata sie walimu anatuchosha ni basi tu tunakomaa nae kutimiza majukumu, yap tunalea watu hatulei mayai, mie kama mwalimu adhabu na viboko ni part ya kumfundisha na sio kumkomoa mtoto wa mtu, hivo kama unaona mwanao anaonewa, anachapwa sana beba peleka wasikochapwa ambako hakuna old way of teaching
Mm binafsi huwa nachapa maana bila kuchapa wanafunzi ni washenzi sana wanatabia za wazazi wao.
Mtoto anakuja kushitaki kwa mzazi mzazi badala amuulize mtoto amefanya kosa gani ,anamuuliza mwalimu nani amekuchapaa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutaki mwanao achapwe muhamishe mpeleke wanakolea watoto kama mayai....
Uliwahi kuandika uozo huu, sijui hata baada ya mwalimu mpuuzi kuuwa mtoto, nawe bado unajiweka kundi la wenye ufahamu? Naomba 'Like' yako ili kuthibitisha uwezo wangu wa kuona mbali kuliko wewe.
 
Oooh! Yaani nikikutoa nje ya TZ huelewi kabisa eti!
Case study! kwa nini practiced behaviour au norms unaita case study? Evelyn, hebu tuendelee baadaye utagundua mimi niko wapi na utanipenda tu! Ikiwezekana usione aibu kuwa mwanafunzi wangu.

Now, you are inviting me to zero in my thinking to Tanzania. Don't drag me into ignorance. I am educated and I like to be an educator who look at the world from the sky with no horizon scapegoat. I am catholic in education. Niulize sayansi nitakumegea, siasa nitakupa, sayansi jamii usiseme, etc.

Nakushauri ujinasue na mawazo mgando. jiulize kwa nini wakoloni walitoa elimu na fimbo kwa waafrika, lakini shule za watoto wa kizungu hawakuchapwa fimbo. Leo hii tuko nyuma kielimu pamoja hizo fimbo na hakuna nchi ulaya ya kati inayochapa fimbo na elimu yao iko very fine!

Ww husituchoshe kama unaona elimu yetu mbaya peleka mtoto wako DIS au IST huko hakuna viboko sasa ww mwezangu na mm ada ya milion 20 kwa mwaka huna alafu anataka kubadikisha system ya shule ya ada ya milion 2 kwa mwaka
Watu wenye ela wanasimesha watoto wao kwny elimu ya juu same as usa na uk hapa hapa bongo na viboko hakuna
Sasa ww unapenda maisha ya juu ela huna peleka huko moshi apigwe mpaka afaul coz elimu ya bongo siyo kuelewa ni kufaulu mthihan tu
Unameza mavitu ww mpaka unakuta kwny mtihani ndio ufaulu dah
Ngoja nipambana nipeleke mtoto wangu huko sawa na wazungu tu
 
Ww husituchoshe kama unaona elimu yetu mbaya peleka mtoto wako DIS au IST huko hakuna viboko sasa ww mwezangu na mm ada ya milion 20 kwa mwaka huna alafu anataka kubadikisha system ya shule ya ada ya milion 2 kwa mwaka
Watu wenye ela wanasimesha watoto wao kwny elimu ya juu same as usa na uk hapa hapa bongo na viboko hakuna
Sasa ww unapenda maisha ya juu ela huna peleka huko moshi apigwe mpaka afaul coz elimu ya bongo siyo kuelewa ni kufaulu mthihan tu
Unameza mavitu ww mpaka unakuta kwny mtihani ndio ufaulu dah
Ngoja nipambana nipeleke mtoto wangu huko sawa na wazungu tu
Nawe unaharibu majadiliano ya watu. Unashindwa hata kuandika kiswahili? Pesa za ada zina uhusiano gani na viboko? Yaani ada ikiwa ndogo nado viboko vinaongezeka. Chezea wamisheni hawa kama huwasikii kwenye ulawiti.....!
 
Aisee, hii shule wamezidi kuchapa watoto. Kuna mwalimu anaitwa afro, anawachapa hadi fimbo za kichwa
 
Suluba
JamiiForums-1763395737.jpg
 
Back
Top Bottom