Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Ww husituchoshe kama unaona elimu yetu mbaya peleka mtoto wako DIS au IST huko hakuna viboko sasa ww mwezangu na mm ada ya milion 20 kwa mwaka huna alafu anataka kubadikisha system ya shule ya ada ya milion 2 kwa mwaka
Watu wenye ela wanasimesha watoto wao kwny elimu ya juu same as usa na uk hapa hapa bongo na viboko hakuna
Sasa ww unapenda maisha ya juu ela huna peleka huko moshi apigwe mpaka afaul coz elimu ya bongo siyo kuelewa ni kufaulu mthihan tu
Unameza mavitu ww mpaka unakuta kwny mtihani ndio ufaulu dah
Ngoja nipambana nipeleke mtoto wangu huko sawa na wazungu tu

Poor handwriting ever met
 
Wanachapa ili watoto wasome kwa bidii wajipatie sifa za ufaulu.Nashauri wawekeze KWENYE ufundishaji Bora,usiotumia sana viboko
 
There!

Baadhi ya mashule hutumia adhabu ya viboko kama mbinu ya kitaaluma. Lengo lao kuu ni kuwa juu kwenye mashindano baina ya mashule kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Kadiri shule inavyokuwa juu, ndivyo itakavyovutia wazazi wengi wapeleke watoto. Na ndivyo shule inaweza kupandisha ada. Madhara kwa watoto ya muda mfupi na muda mrefu ya kisaikolojia, kisosholojia na hata ya kibaolojia wao hawajali.
 
Nimeona neno NASIKIA basi nikaishia hapo kwenye kusoma uzi.
 
There!

Baadhi ya mashule hutumia adhabu ya viboko kama mbinu ya kitaaluma. Lengo lao kuu ni kuwa juu kwenye mashindano baina ya mashule kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Kadiri shule inavyokuwa juu, ndivyo itakavyovutia wazazi wengi wapeleke watoto. Na ndivyo shule inaweza kupandisha ada. Madhara kwa watoto ya muda mfupi na muda mrefu ya kisaikolojia, kisosholojia na hata ya kibaolojia wao hawajali.
Tamaa ya pesa inaifanya elimu iwe mateso kwa kunyanyasa watoto kwa kutumia viboko.Hapa serikali iangalie kwa umakini.Adhabu ya viboko iwepo kwa lengo la kuboresha tabia na sio kuwafanya watoto wakeshe madarasani kukariri material wapass mitihani Kisha shule zipate faida kwa mgongo wa ufaulu wa mateso
 
Some schools decimate Adversity Quotient (AQ) ya wanafunzi, mradi tu wenye shule wapate pesa.
 
Back
Top Bottom