Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

Fimbo ina umuhimu ukipingana na fimbo za walimu wa shule kwa wanao.

Jiandae kwa mwanao kuadhibiwa na fimbo za ulimwengu.

Hapo kwenye blue umemaliza kama hutaki mwanao achapwe na walimu ilhali hana nidhamu basi atakuja kuadhibiwa na fimbo za walimwengu
 
Hapo kwenye blue umemaliza kama hutaki mwanao achapwe na walimu ilhali hana nidhamu basi atakuja kuadhibiwa na fimbo za walimwengu
Watu wanataka kuwalea watoto kama kwenye movie, na hawakawii kusema huyu mtoto kanishinda sijui nimfanyeje.

Kipindi walimu wanamrekebisha ulipinga maana wale walikuwa walezi wake akiwa shule.
 
Watu wanataka kuwalea watoto kama kwenye movie, na hawakawii kusema huyu mtoto kanishinda sijui nimfanyeje.

Kipindi walimu wanamrekebisha ulipinga maana wale walikuwa walezi wake akiwa shule.
Kwa maoni yako unataka kila mtu dunia nzima awe mzuri? Ni akili mbaya tu na ungesoma mjadala huu wote ungegundua kwamba waalimu wanaona ni haki yao kuchapa wanafunzi. Ina maana hata wakiwa wanafunzi wazuri wao watadai haki yao ya kuchapa.

Muhimu kuliko yote, Wanafunzi wako shuleni kutafuta elimu. Elimu siyo division 1, ni pamoja na heshima yake na kutambua thamani yake. Hayo hayapatikani darasani kwa fimbo. MWanao atapata division 1 lakini usishangae hawezi hata kuzungumza ktk mkutano wa kijiji.
 
Kama wewe sio mwalimu ndo utasema kufundisha bila kuchapa inawezekana. Ngoja niwambie mm nimesoma ualimu japo ni engineer nlisoma sababu nafundisha. Katika elimu ya ualimu kuna topiki kwenye education psychology inaongelea kuchapa, reinsforcement and reward so kuchapa ni lazima mkuu
 
Kawafundishe wewe usiwachape

Kila mtu ana kazi yake. Mimi nalima mpunga nikikuwekea mchanga ukalalamika naweza kukutuma shambani ukalime? Nikikutuma kama wewe unayesema mtu akawafundishe, ujue ni uwezo mdogo wa taaluma. Kama wewe ni mwalimu, basi uwezo wako ni mdogo.
 
Mmmh hadi hapa nilipo sijawahi sikua mlinzi akichapa mwanafunzi hiyo shule ni ya kipekee, wewe kama mzazi umefanyaje umeenda shule ukapata uhakika au ndo mwanao kakusimulia tu, basi pole ndo nshakushauri kama wachukizwa na viboko mpeleke shule wasiochapwa hilo la kuchapwa na mlinzi I guess ni chai tu
Viboko ndo suluhu hata Mjerumani asingetumia viboko enzi za ukoloni nahisi mpaka sasa reli ya kati ingekuwa inajengwa. Kulealea watoto kijinga sio na uzuri maandiko yanasema ktk MITHALI 22:15 "Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; lakini FIMBO ya adhabu itaufukuzia mbali" pia MITHALI 23:13 "Usimnyime mtoto wako mapigo; maana ukimpiga kwa FIMBO hatakufa. Utampiga kwa FIMBO na kumwokoa nafsi yake na kuzimu"
 
Sasa ulitaka majibu yapi while kitu tunachoongea ni habari ya viboko?katika taaluma yangu sio kila nnachokifanya ndo nlifundishwa chuo, hata kukagua wanafunzi usafi sikufundishwa ila ni moja ya majukumu yangu
haya wewe mwenye strong argument zimwage hapa,
Ntazidi kuunga mkono hoja yako. Wanataka watoto waache waje kuwa mashoga. Piga viboko.
 
Huwezi kuendesha taaluma kwa ubunifu wako binafsi wakati unadai umesomea. Even acrobatic gymnastics have do and don'ts. How can you make routine caning part of your training and shamelessly, appreciate using it? We have proven facts that only circus animals and the likes go by carrot-and-stick.

Eti ubunifu! Ubunifu gani huo? Hii ni mchezo wa kangamoko? Unadhalilisha taaluma wee!
Eti huwezi kuendesha taaluma kwa ubunifu wako binafsi, hahahahah! mwalimu sharti uwe mbunifu mfano yule Mghana alochora MICROSOFT WORD ubaoni hakufundishwa hivyo chuoni bali ni ubunifu.
 
Teaching without canning its possible i can prove that to all guys....
Ndo mana madogo wanahitimu hata majina yao hawajui kuandika. Enzi zile ugongwe rula za vidole mbona utajua hata mchorongo wa "ba"
 
kiboko ndo kimenifikisha hapa na kuwa strong man
Hauna u strong wowote ule.

You are just too coward and delusional.

Mnawapiga watoto viboko wanakuwa waoga kama mbwa koko.

Elimu ni pamoja na kujenga saikolojia ya mtoto, kumjengea kujiamini, kumjengea kuzungumza , kukosoa, kupinga, na kujitetea, lakini pia kumjengea uwezo wa kufanya maamuzi binafsi.

Wewe huna lolote kati ya hayo.

Umepigwa maviboko huko shuleni umekuwa Useless Dog unakimbia kimbia tu.

Ukishapata visenti saba ndio unajiona eti "strong man"!!

Kutokujua tu kuwa viboko havifai inaonesha ni jinsi gani viboko vimekulemaza ubongo.
 
Viboko ndo suluhu hata Mjerumani asingetumia viboko enzi za ukoloni nahisi mpaka sasa reli ya kati ingekuwa inajengwa. Kulealea watoto kijinga sio na uzuri maandiko yanasema ktk MITHALI 22:15 "Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; lakini FIMBO ya adhabu itaufukuzia mbali" pia MITHALI 23:13 "Usimnyime mtoto wako mapigo; maana ukimpiga kwa FIMBO hatakufa. Utampiga kwa FIMBO na kumwokoa nafsi yake na kuzimu"
Amen mtumishi
 
Eti huwezi kuendesha taaluma kwa ubunifu wako binafsi, hahahahah! mwalimu sharti uwe mbunifu mfano yule Mghana alochora MICROSOFT WORD ubaoni hakufundishwa hivyo chuoni bali ni ubunifu.
Unajua tofauti ya taaluma na somo?
 
Ntazidi kuunga mkono hoja yako. Wanataka watoto waache waje kuwa mashoga. Piga viboko.
Una habari hapo hapo Bendel kuna mwalimu alihisiwa kuwa shoga na akiongoza kutia watoto viboko ili kuwalainisha? Pumba vu zenu wajinga munaungana mkono na huyo anayejiita salt!!!!!!
 
Eti huwezi kuendesha taaluma kwa ubunifu wako binafsi, hahahahah! mwalimu sharti uwe mbunifu mfano yule Mghana alochora MICROSOFT WORD ubaoni hakufundishwa hivyo chuoni bali ni ubunifu.
Tatizo la JF hili!! Nikiangalia unachoandika kila wakati JF kulinganisha na mtu unayempinga, tofauti yenu ni kubwa mnooo! Huna hata sifa ya kuwa mwanafunzi wake.
 
MWANANGU KARUDI LIKIZO ANASEMA SIR ALIWACHAPA WOTE NIKAMUULIZA KUMZUNGUKA KWA NN MCHAPWE AKASEMA WALIKUA WANAPIGA MAKELELE NA WALIPOULIZWA NAN ANAPIGA HAKUNA ALIEJIBU.NIKAMWAMBIA MWALIMU ALIKUA SAHIHI HATAKI MFICHE MAOVU na siku ingine nitamwaMBIA AKUONGEZEE.
MTOTO MWINGINE NAMSOMESHA(SIO WANGU JAPO NAISHI NAE )NA ALICHAPWA HAKUKUSANYA DAFTARI,siku ingine nikamwambia kajisomee akabaki anaqangalia tv nikamwambia ukichelewa shule hatuta elewana kweli asubuhi akachelewa shuleni AKAPEWA adhabu nyingine ,SIKU INGINE ALIPANGIWA BUSTANI YA SHULE AKAENDA then akapotea
MWISHO WA WIKI NIKAKAGUA DAFTARI SIKULIDHIKA JNNE ya wiki ya tatu NIKAAMUA KUPITIA SHULENI,NILIPOAMBIWA MATATIZO YAKE NIKAMWOMBA MWALIMU AMCHAPE MWALIMU ALIMCHAPA BAKORA TATU,SIKULIDHIKA NIKAMSHIKA MWENYEWE NIKAMPA BAKORA SABA,MBELE YA STAFU NIKAWAOMBA WALIMU NIKAWAPA NAMBA AKIWA MKAIDI NIAMBIWE TANGU NIFANYE TUKIO HILO AMETOKA KUWA WA 40 KATI YA WANAFUNZI 94 NA AMEKUWA WA 9 NDANI YA MWAKA MMOJA .
Asee agiza ka novida mkuu, wewe ni mzazi bora

Kuna watu huwa ni kama wanawadampo watoto wao shule[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoto apigwe ila sio kwa kupitiliza, pia kosa lingine sio la kupigwa ni kuambiwa....sasa hadi mlinzi anapiga watoto?? V

Viboko vinauma jaman mnaosem wapigwe tu mnamaana gani???? Mimi mwenyew niliacha MADRASA kwa ajili ya kipondo niliona alhamdu kuijua tu inanitosha
Hatuongelei kipondo cha Maalimu au Ustadh, kile kipigo cha madrasa ni level zingine ukikileta mashuleni watatoroka.
 
Mbona uandishi kama wa mwanafunzi lakin??? Ila nikukumbushe kama ni ya kikatoliki labda wanafuata methali 22:15 kua "ujinga umejefugwa ndan ya moyo wa mtoto nayo fimbo ya adhabu hufukuzia mbali" ww hama uende shule ingne maana naisi ww ni mwanafunz wa hapo!!!
Hahahah
 
Back
Top Bottom