Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,670
- 22,260
Wakati wa ukoloni Tabora ilikuwa na THAMES gari zuri sana la zimamoto kushinda Dar es Salaam.Kumbe Tabora napo kuna kikosi cha zimamoto? Tena Wana vifaa vyote husika! Ama hii picha ni ya Dar?