Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

Hapo Kuna tatizo sio bure wafanye uchunguzi wa kina Moto hauna tabia hizi zilizopo sasa Kama ni vifaa vibovu hata nyumba zetu zingeungua Moto...
 
Mkuu mwanzoni nilivyoyasoma majibu yako nikajua tuko pamoja unatumia kichwa ku think ila sasa nimeelewa kuna waya unatoka moja kwa moja kutoka kwenye Medula oblongata hadi kwenye WOWOWO lako

Hongera sana kiongozi wangu hayo nayo ni mapinduzi
Ignored!
 
Umemnukuu vibaya!

Yeye hapo yupo katika tafakuri, yaani anajiuliza mwenyewe kwa sauti.

Swali hilo pia linaweza kutumiwa na wanausalama katika kupata mwanga wa kutafuta chanzo ama sababu ya hujuma hiyo.

Ni swali la msingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hata Dunia inaweza kuanza kufikiri kwanini Corona ipo nchi kibao na haipo Tanzania? Funny!

Ukitembelea platforms mbalimbali ambako hii habari imepostiwa utasoma maoni mengi sana mkuu ambayo yanaonyesha ni jinsi gani Tanzania iko na wapumbavu wengi ambao kimsingi ni mtaji.

Wanajiuliza kama baadhi ya watu humu JF wanavyojiuliza kwanini ni shule za kiislamu tu, wengine wanaendelea kuna mchezo, wengine wanafika mbali zaidi na kuhoji kwanini za Kikristo haziungui? Juuuust imaaagine 😨

Yani ingelikuwa leo imeungua St Francis kesho Al Haramain, kesho kutwa St Mary's mtondo Abdula Algebra mtondogoo St John's wasingehoji!

Mimi sio mtaalamu wa ujenzi ila kwa akili ya kawaida kabisa unaweza kulinganisha ujenzi wa Shule za Kikristo na hizo za kiislamu (baadhi)? Unaweza kulinganisha uwezo wa kitaaluma wa shule za kikristo na za kiislamu?

Hizi ni sababu za kawaida kabisa Morogoro kuna shule maarufu sana inaitwa Forest umewahi kujiuliza kwanini leo hii ipo kama haipo na inafanya vibaya kuliko maelezo?
 
Hapo Kuna tatizo sio bure wafanye uchunguzi wa kina Moto hauna tabia hizi zilizopo sasa Kama ni vifaa vibovu hata nyumba zetu zingeungua Moto...
Kwamba nyumba yako umeijenga sawasawa na Shule za kiislamu zinavyojengwa?
 
Mkuu inaonekana unajua nini kipo nyuma ya pazia weka ukijuacho jukwaani, watu waelewe.

Mada imesema shule ya KIISLAM, uelewe wangu mdogo hii ni shule ya 4 nafikiri ndani ya 2020. Unataka niunganishe na shule zipi kwa kipimo kipi??

Una jambo unalolijua shea, mie nimeshea fikira zangu binafsi, hili jukwaa huru..
Sipangiwi cha kuongea maadam sijatusi.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Kwa mwaka huu pekee kuna shule mbili za Kikristo ambazo nimesikia habari zake zimeungua na mojawapo ipo Mwanza.

Uliwahi kujiuliza kwanini hizi nazo zimeungua au hii habari huna? Na kama huna mkuu unadhani kwanini?

Michezo mingine wanayofanya haina akili acha wachome sana si wamejenga wenyewe! Hakuna fundraising itakuja.

Wamezoea vitonga.
 
Unaleta udini usimezwe kiasi hicho kwahyo na hizo shule mbili za kikristo zilizoungua nazenyewe Chanzo chake utasema ni nini
 
Kila mtu anajaribu kuhoji kwa namna yake,kuna wakati inawezekana shida ikatokea mfululizo katika jamii moja mpaka watu wakahisi ni hujuma inafanywa.
Kifupi tuachie mamlaka husika zifanye uchunguzi ili tupate majibu sahihi.
 
Kuna shida mahali kwenye hizi shule kuungua hivi Majaliwa si aliunda tume kuchunguza hili jambo? Mbona majibu yake hayatoki au mnasubiri mpaka wachome misikiti sasa?
Tume za majaliwa huwa hazileti majibu hadharani. Hivi ile tume ya kuchunguza ajali ya moto wa Roli Morogoro uliwahi kuyasikia majibu yake ?
 
Haya majanga ya shule kuungua moto yamekuwa mengi mwaka huu, leo pia kuna shule Mwanza imeungua.
 
Tena ni kuweka hiden camera tu, huu mchezo umezidi kipimo.
Hii inaweza kusaidia,maana hawa ndugu zetu usikute wamewafundisha watoto wa shule husika nini cha kufanya. Hili jambo linaonekana ni zito sana,naamini Serikali inalifanyia kazi kwa ufasaha. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Mkuu ukishafahamishwa kuna lolote utachangia?
Vipi ukijua kwamba shule nyingi za kiislamu zinajengwa kwa donation za ndani ya misikiti ambazo hazikidhi kabisa kuajiri wakandarasi wa ujenzi na umeme?
Unawajua istiqaama au unawasikia!!.. hizi ni hujuma
 
Kwamba hata Dunia inaweza kuanza kufikiri kwanini Corona ipo nchi kibao na haipo Tanzania? Funny!

Ukitembelea platforms mbalimbali ambako hii habari imepostiwa utasoma maoni mengi sana mkuu ambayo yanaonyesha ni jinsi gani Tanzania iko na wapumbavu wengi ambao kimsingi ni mtaji.

Wanajiuliza kama baadhi ya watu humu JF wanavyojiuliza kwanini ni shule za kiislamu tu, wengine wanaendelea kuna mchezo, wengine wanafika mbali zaidi na kuhoji kwanini za Kikristo haziungui? Juuuust imaaagine 😨

Yani ingelikuwa leo imeungua St Francis kesho Al Haramain, kesho kutwa St Mary's mtondo Abdula Algebra mtondogoo St John's wasingehoji!

Mimi sio mtaalamu wa ujenzi ila kwa akili ya kawaida kabisa unaweza kulinganisha ujenzi wa Shule za Kikristo na hizo za kiislamu (baadhi)? Unaweza kulinganisha uwezo wa kitaaluma wa shule za kikristo na za kiislamu?

Hizi ni sababu za kawaida kabisa Morogoro kuna shule maarufu sana inaitwa Forest umewahi kujiuliza kwanini leo hii ipo kama haipo na inafanya vibaya kuliko maelezo?
Wr jamaa m.pumbavu kweli
 
Subirini FEZA iwake kwanza ndo serikali itashtuka. Wakiungua watoto wao... So far mnaungua masikini tu.
 
Sasa hivi wameamua moto ni kwenye shule, za kiislam tu
CCM wana ogopesha watu wameona zinataka kuwa nyingi zinaweza toa watu wenye misimamo isio penda kudanganywa. Zina weza zalisha watu wanao penda haki kama Tundu Lissu
 
Huu ni mwendelezo wenye kutia mashaka sana.
Yaani kuanzia mwezi April mpaka September kuna zaidi ya shule tano za kiislamu zimeteketea kwa moto. Binafsi ninaamini haya sio matukio ya bahati mbaya (Accident) huenda ni matukio ya kupangwa!

Embu waza tu.
1. Ni matukio ya mfululizo.
2. Ni shule za kiislamu tu.
3. Hakuna uchunguzi wowote wa kina.
4. Hakuna ripoti yoyote kuhusu chanzo.
5. Hakuna wahusika waliochukuliwa hatua.
Hao watu wakielimika pengine kuna chama kita vurumishwa madarakani kwa mawe maana wanafundishwa haki anayo fundisha mwalim Tundu Lissu!
Haki ni msingi wa maendeleo!
Kutambua haki kwa mapana yake ni hatari sana sana kwa maisha ya wanya nganyi na wala rushwa
 
Back
Top Bottom