Kagera: Bweni la wavulana la Shule ya Msingi na Sekondari Istiqaam limeteketea kwa moto

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,114
Bweni la wavula katika shule ya msingi na sekondari Istiqaama inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislamu iliyoko kata Nshambya katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, limeteketea kwa moto jana jioni na kusababisha mali zote za wanafunzi zilizokuwa katika bweni hilo kuteketea.

Akizungumza katika eneo la tukio kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji katika mkoa wa Kagera Zabron Muhumha amesema kuwa bweni hilo lenye vyumba nane lina uwezo wa kulaza wanafunzi 70 na kwamba hakuna madhara kwa binadamu.

20230708_121154.jpg
 
View attachment 2681841
Kagera uzembe umezidi.
 
Ukute ni chuki/ujinga/wivu unawatia watu hasara... watu sijui wamekuaje

Juzi juzi tu kuna jinga limeua huku ili amiliki biashara aliyokua akifanya na marehemu mwenyewe, jamaa alikua mtu wa watu, Linarudi kutoka msibani, kakuta Duka limepigwa moto lote mpaka store na la kwakwe halafu watu wako na zao hajaokoa hata msumali.

Kuna mda unafikiria, potelea kote bora kusiwe na msamaha huko tuendako ili kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Bweni la wavula katika shule ya msingi na sekondari Istiqaama inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislamu iliyoko kata Nshambya katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, limeteketea kwa moto jana jioni na kusababisha mali zote za wanafunzi zilizokuwa katika bweni hilo kuteketea.

Akizungumza katika eneo la tukio kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji katika mkoa wa Kagera Zabron Muhumha amesema kuwa bweni hilo lenye vyumba nane lina uwezo wa kulaza wanafunzi 70 na kwamba hakuna madhara kwa binadamu.

View attachment 2681841
The act of sabotage????
 
Ukute ni chuki/ujinga/wivu unawatia watu hasara... watu sijui wamekuaje

Juzi kuna jinga limeua huku ili amiliki biashara aliyokua akifanya na marehemu mwenyewe, jamaa alikua mtu wa watu, Linarudi kutoka msibani, kakuta Duka limepigwa moto lote mpaka store halafu watu wako na zao hajaokoa hata msumali.

Kuna mda unafikiria, potelea kote bora kusiwe na msamaha huko tuendako ili kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
What ? Hebu fafanua kidogo mkuu story ipo very interesting
 
Na aliyeunguza hilo jengo utakuta kila siku anag'aka Yesu siyo Mungu na ana sigdah na kuswali mara tano kila siku.
 
Back
Top Bottom