Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Why not use NECT Results of 2008 to get the best 10 Schools in perfomance??
Wakuu,
Najua kuna shule nyingi kwa hapa Tanzania. Kwa kuangalia matokeo tu naweza kuchanganya madawa.
Ninachotaka kujua, ni shule gani ina
Kifupi nahitaji kujua shule ambayo mdogo wangu (kwangu ni kama mwanangu tu) akisomea hapo (kuanzia msingi na kuendelea) nitajisikia kufarijika kuwa kalelewa katika maadili mazuri na amepata kujua mengi badala ya kukariri kwa ajili ya mitihani.
- walimu walio committed,
- mandhari nzuri ya kufundishia na kusomea
- bweni (si kutwa)
- Inaweza kuwa ya jinsia moja ama tofauti
- Maadili mazuri kwa walimu wake na wanafunzi ambapo nitampeleka mdogo wangu akasomea kwa amani na kuwa na busara
- performance yake inaridhisha katika mitihani iwe ni kwa kufuata mtaala wa Tanzania ama nje
- gharama zinazoendana na ufundishaji na malezi (na ni kiasi gani?)
Suala la gharama za masomo si tatizo japo ni muhimu kujua ili kulinganisha na ubora wa elimu inayotolewa.
Nitashukuru kwa mapendekezo.
Why not use NECT Results of 2008 to get the best 10 Schools in perfomance??
Then choose One: Over kigezo cha mkoa, Masista n.k
St. Joseph Millenium Schools...i lazima uhakikishe mtoto wako ni extra bright ili aweze ku compete interview. Pale Sr. ambaye ni Headteacher ni strict sana, waalimu wote ni diploma na degree tu... Ila kama nilivyosema, mtoto wako huyo ni lazima kichwani ziwe zinachemka, pale ni pagumu kupata maana pia wana stream moja tu.
Maane,
Mie mtoto wangu Muislam je watampokea ktk hizi shule?
Mtoto anataka kuingia darasa la kwanza unamu interview nini sasa?
Hiyo kwangu inanionyesha hao walimu unao waita strict wenye degree na diploma nao ni ovyo. Kwa hiyo, mtoto katoka vidudu unampa mtihani wa kuingia darasa la kwanza kuona kama alifuzu vizuri vidudu? Vidudu kuna mitihani siku hizi? Na kama hakwenda vidudu jee, huyo mtoto ni mjinga definately hafai hapo St. Joseph Millenium Schools, au?
Hao St. Joseph Millenium Schools wanataka mteremko wa kufundisha vitoto ambavyo wanaona vitawarahisishia kazi. Sio ualimu huo.
Max umeowa juzi tu mtoto anataka shule mara hii?
Kwa upande wa shule zenye mitaala ya nje ya Tanzania, International school of Tanganyika ni mojawapo.
Mwenye kujua zaidi kuhusu hii shule anaweza kusaidia.
Kwa taarifa yako shule zote nzuri siku hizi za primary (private) mtoto haingii bila interview.
Mtoto anataka kuingia darasa la kwanza unamu interview nini sasa?
Hiyo kwangu inanionyesha hao walimu unao waita strict wenye degree na diploma nao ni ovyo. Kwa hiyo, mtoto katoka vidudu unampa mtihani wa kuingia darasa la kwanza kuona kama alifuzu vizuri vidudu? Vidudu kuna mitihani siku hizi? Na kama hakwenda vidudu jee, huyo mtoto ni mjinga definately hafai hapo St. Joseph Millenium Schools, au?
Hao St. Joseph Millenium Schools wanataka mteremko wa kufundisha vitoto ambavyo wanaona vitawarahisishia kazi. Sio ualimu huo.
Its good and expensive,inategemea na mfuko wako.
Unamaanisha mtoto hufanyiwa interview wajue kama anajua kusoma na kuandika na kadhalika? Neno "interview" maana yake nini?
Manake tusisema watoto wajue hili na lile na "fluently" na "kiasi" na kadhalika. Tuanze na wazazi kwanza.
"Interview" maana yake nini?