BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,528
Bado naamini Elimu iko kwenye shule za International School tu, kule kuna world clasll education, English medium ni utapeli mkubwa sana.
International School watoto hawasomi tu just kusoma kama ilivyo English Medium, kule watoto wanafunsdishwa skills zote za maisha kama wanazo taka, na hata mtoto akiwa peke yake anataka skills fulani atatafutiwa mwalimu. Kuna mtoto fulani ni Arusha yeye alikuwa anataka kujifunza Lugha ya Kichina, ilibidi atafutiwe mwalimu wa Kichina.
- Michezo, wanaviwanja ambayo vina levo sawa na vya kuchezea ligi.
- Muziki, Wana vifaa vyote vya kujifunzia mziki.
- Michezo ya kila aina, Baiskel, Tenesi, Mpira wa miguu, Basket ball na mingin meingi na kumbuka wana walimu qualifoed kwa kila idara ya michezo.
- Mabwawa ya kujifunza kogelea,
Mfumo wa kufundishwa wanao tumia ni ule shirikishi yaani sana wanatumia discusion na presentantions ndio maana watoto wana kuwa na confidence sana kwa sababu ya presentation na discusion nyingi sana Darasani.
Njoo English Medium sasa;
English Medium zenye viwanja tu vya michezo ni za kutafuta kwa tochi, nyingi zimepewa usajiri bila kuwa na kiwanja cha michezo, Saa za michezo wanacho fanya ni kuwapa watoto mpira wakakimbizane wenyewe kwenye eneo la assembly, zingine watoto wanachezea humo humo Darasani.
- Zimejikita sana kukaririsha watoto kuongea kingereza ili kuwa brainwash wazazi.
- Homework ndio nyingi sana plus tuition, yaani mzazi analipishwa ada na pia analipiswa pesa ya tuition.
Narudia tena ukiondoa kuwakariririsha watoto kingereza hakuna kitu kingine hizi shule zina offer kwa mtoto.