Shule Niliyompeleka mwanangu ndo hii

sasa mtoto akijigeuza akaanguka? maana vinaonekana viko deep usingizini..
 
Mbona huto tu mjamaa, tumeweka mikono kwenye vifanyio, ama ndio ni amri kulala hivyo?
 
We Bulldog na picha za kuiba mtandaoni hujambo
 
Last edited by a moderator:
Watoto hawa wanafundishwa ujumuisho wa vifaa vya kazi..
 
Tuko mbioni kuileta Tz,tulianza na mafunzo ya ukakamavu na uzalendo J.k.t
 
Kumbe humu JF tuna hadi Wachina! Interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…