Shule kama hii bongo ipo jamani...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,868
30,337
485117_383270361747570_689827795_n.jpg


Hahah du hizi shule nyingine duu Kutakuwepo na Wasomaji shule kama hii jamani?
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,868
30,337
Neno 'KAA UCHI' limekuwa fabricated. Ukiangalia vizuri background yake imefutwa futwa, iko tofauti na background ya maneno mengine.
Mkuu Idimi jina Orignall hilo halijachakachuliwa kabisa hilo jina linatumika huko mombasa

Mmmh picha imechakachuliwa.
bibie MadameX; Picha haijachakachuliwa ipo poa kabisa huoni hata kwa macho yako?

hata maandishi yake ni membamba kuliko hayo ya chini.
Mkuu Ringo Edmund Maandishi yapo poa huoni yanavyofanana na wino ni mmoja mweusi mbona Wa-Tanzania ni watu wabishi ehhh hata macho hamuoni jamani?

Mbona ni jina kama majina mengine?
mkuu Mtoto halali na hela ni kweli jina kama majina mengine halifai kutumika kwa jina la shule sio heshima kabisa mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,868
30,337
hahaha...yakhe hayo ndio aina ya majina ya wenzetu..
mfano Mchambawima, Kibanda maiti, Sitaki shari n.k
Ami watu8 Watutukana yakhe unatupa jina baya yakhe kila kitu basi unguja tu? kwanini husemi Tanga au dar au mtwara yakhe??????????????
 
Last edited by a moderator:

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,356
66,302
Ami watu8 Watutukana yakhe unatupa jina baya yakhe kila kitu basi unguja tu? kwanini husemi Tanga au dar au mtwara yakhe??????????????


Dar, Tanga kote nimeishi sheikh wangu lakini Zanzibar haswa Unguja wana majina ya hatari sana...ila kwa siye tulioloea Pwani yote twaona kheri tu!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom