mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Dogo anaonyesha kwa vitendo kuwa anasoma KIBORORONI
Ha ha haaaaaaaaaaaaa
Dogo anaonyesha kwa vitendo kuwa anasoma KIBORORONI
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!
Hiyo ni hadithi,but when it comes to real life context sijawahi kuona!hivi hukusoma ile hadithi ya "MZEE MANONI"Shija alikuwa anaona "ticha" wake akimwaga radhi darasani!dah sijui ile hadithi inaitwaje.Inahitaji darubuni ya asili kuona!
Kuna baadhi ya makabila hayataki kusikia hii kitu kabisa!Ushauri wangu ule mradi wa Ondoa Mkono Sweta (OMS)
Ame afford kuvaa miwani lakini nguo imeshindikana...
Hujui kama siku ya wajinga inaisha tar 10apr?Du kama kweli hatari kweli, pamoja na kuzungukwa na madini umasikini ndo kwaanza unazidi kuwakabili kweli ccm ni janga la dunia sasa
Labda sudan kusini,Ethiopia hakuna watu weusi kiasi hicho!
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!
MziziMkavu hiyo lugha iliyoaandikwa hapo ubaoni sio inayotumika kwa watu wa Arusha hiyo ni lugha ya Amharic inayotumika kule Ethiopia, Eritrea na maeneo ya karibu na hayo
Hapo inakuwaje inapofika ile mada ya REPRODUCTION. Hakuna haja ya kuhangaika kuchora External Organs Futures kutokea kwenye vitabu ni swala la kugeukiana tu. Lol.