Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Haya kwa wale wanaotaka kusoma shule hii ipo Bongo kijiji kimoja kinaitwa Tanzanite huko Arusha karibuni nyote mnakaribishwa............. Wa-Danganyika. Kusoma sherti uwe upo uchi...............
![]()
Mkuu Boflo upo? Mkuu Mbuzi Mzee upo? Mkuu TUKUTUKU upo? Mkuu saudari upo? Mkuu Bujibuji upo?
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!zilikuwepo na bado zipo sana mpaka usiku huu ndugu yangu, ila mazingira, njia na maada za kufundishwa ndio zinakuwa tofauti kidogo...kumbuka jinsi ulivyojifunza ku.....
Mkuu kwani KIBORORONI kuna nini?Dogo anaonyesha kwa vitendo kuwa anasoma KIBORORONI
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!
Mkuu hii ni laana!Du kama kweli hatari kweli, pamoja na kuzungukwa na madini umasikini ndo kwaanza unazidi kuwakabili kweli ccm ni janga la dunia sasa
Mkuu mbona mimi sijaiona hiyo miwani?Ame afford kuvaa miwani lakini nguo imeshindikana...
Teh teh teh!umenichekesha sana,nimeishi miaka mingi sana hapa duniani lakini sijawahi kuona hiki kituko!Mkuu hujasoma kozi ambazo zinasisitiza mafunzo kwa vitendo, au hujakutana na serious teachers bado...anayependa somo lake....yawezakana hata wewe umeshafundisha ukiw kama huyo teacher hapo juuu....
Labda sudan kusini,Ethiopia hakuna watu weusi kiasi hicho!Mkuu hiyo si Ethiopia? Nadhani kilugha chao kinaandikwa hivyo