Shule kama hii bongo hapo ipo jamani?

Shule kama hii bongo hapo ipo jamani?

Tukutuku waweza kuwa sahihi kwa rangi lakini Sudani kusini hawaandiki Ki-amharic. Nadhani maandishi hayo yanaweza kuwa. Sudani wanaongea kimalkia na kiswahili na kiarabu (may be). Wenye kujua wanaweza kutujuza. Labda kama wa sudani kusini wanakaribiana na jimbo la Amhara.
Hapa nimejifunza mambo mengi sana kupitia andiko lako,nashukuru mkuu!
 
hahahah si hilo tu ikifika topic ya kujifunza parts of the body itakua rahis sana kwani ni kushika kila kiungo cha nje kinachoonekana
Hilo nalo neno. Kwikwikwikwikwikwikwiiiii...
 
Haya kwa wale wanaotaka kusoma shule hii ipo Bongo kijiji kimoja kinaitwa Tanzanite huko Arusha karibuni nyote mnakaribishwa............. Wa-Danganyika. Kusoma sherti uwe upo uchi...............

536136_597803613567856_626705976_n.jpg


QUOTE]

umekosea uliposema shule hii ipo tanzania. hiyo lugha ni ya ethiopia wenyewe wanaiita amahaliya a.k.a kihabeshi, sasa sijui kama bongo kuna shule inafundisha hiyo lugha. ama ungesema shule inayofanana na hiyo unaweza kuzipata huko kwa wamasai arusha. sisi kwetu shule zipo nzuri labda mtihani ni walimu kukwepa kwenda kufundisha
 
Nimestuka. Anafanana na mwenyekiti wa mnyama, wenye ofisi karibu na ddc..
 
Back
Top Bottom