Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
SHIKAMOO Wabongo!


Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu

Mara mtu akadondoka inbobo, Oh! DADA Penny naomba msaada wako

Penny: nambie mami

Mtu: DA Penny nilikuwa na shida samahani kama nitakuwa nakukosea heshima au nakukwaza, nina shida ya kupata sponsor

Money Penny: Sponsor huyu vepee una maana gani?! (hapo nimeshamwelewa basi tu nazuga)

Mtu: mtu wa kunipa raha na nini alafu awe ananipa na hela, maana nimechoka kukimbizwa na hawa vijana wadogo wanakuchooosha alafu unaondoka na buku 2, yote inaishia njiani kwenye nauli, nashindwa hata kununua sabuni ya kuogea! uuuwi!

Money Penny: kha! Mdogowangu una miaka mingap?! Umesoma mpaka wapi?

Mtu: 20 Dada, nimeishia kidato cha nne

Money Pennny: si urudi shule mami ukaendelee na masomo, hawa wanaume wana karaa sio kitoto

Mtu: ah me shule ishanishinda dada yangu, sa hivi nawaza mechi tu hamna material itapanda kichwani, dushelele imenijaa kichwani

Money Penny: du pole sana, lakini unajua me siuzi watu, sina danguro wala hao sponsor hata sijui nawatoa wapi!

Mtu: najua da penny lakini navyokuona na stori zako unazoandika naamini unajuana na vibopa! we ukipata mtu niunge nae, nataka mtu mzima kwenye 45 na kuendelea

Money Penny: mami hao wote unaowataja wameshaoa sasa itakuwaje namna hii?!

Mtu: me sina neno we walete tu, namba yangu 071. ... ...

Money Penny: sawa mami, ila dah wewe mdogo sana kuchezea msambwanda nakushauri usome kwanza.
mawasiliano yalipoisha, skudanganyi roho iliniuma sana mtu anatelekeza elimu kwa dushe?! Kiru shetani shindwaaaa shindwaaaa!

ivi kwan Masponsor waliendaga wapi mbona wanasakwa hivi?!
Naona The struggle is real mtaani ee?! Hela hamna basi taabu tupu...

Kama unamjua sponsor yoyote tumsaidie mdogo wetu maana sikio la kufa limekataa dawaaa ... hehe

 
usawa huu tutegemee maombi mengi yakutaka wadhamini japo wadhamini wenyewe wameota mbawa
meona ee? ni sheedah!

Kusoma nako kwataka mkono wa Sponsor.
Na hivi mikopo elimu ya juu imeota mbawa...
ah! ni balaa tupu ndugu yangu!

Sponsor Daby yupo
Ila sidhani kama kafika 45
we nitumie phone no yake inbox nitampa itabidi a lower standard zake za umri sasa!

Kanajua lakini kubinuka kinyantuzu fresh!?
katoto cha kitanga kale weka mbali na watoto

Duuuuhhhh......kwa kuwa akili yake inataka bwana...hata aje sponsor ni sawa na bure......Willingness ya kusoma hana tena...
ahahahahah uuuwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom