Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,688
- 17,107
Kuna dogo jana kanifuata
Oh da Penny msaada wako na hekima yako plz
Kuna dada namfuatilia mwaka wa 2 sasa lakini napigwaaa tuuu
Kupigwaaa nina maana napigwa hela zangu afu anasepaaa sipewi kitu mapenzi hatoi kila siku kalenda kalenda na wewe
Money Penny: sasa na wewe unapigwa kalenda miaka 2 upo tuu?! Che dogo vepee?! kwani huyo dada ni nani labda?!
Dogo: hawa dada zetu, Zari ma design amezaliwa mwaka wa 80
Ila hataki kunielewa nikafuatilia sanaaa nikagundua yupo na KIBOPA m1 mtu mzima yule KIBOPA kama hana 45 basi anachezea 50. Anamzimiiiia wakati me najua yule kibopa ana mke na watoto hapa nataka nikamwaribie huyu demu kwa mke wa kibopa
Money Penny: ohooo usifanye hivyo bwana, huo ni utuyu, kwani wewe una miaka mingap
Dogo: miaka 28
Money Penny: sasa unataka ma shuga mami wa nini labda?! Huoni huyo kama dadako wa kuzaliwa?!
Dogo: kwan da penny haujui kuwa wadada wakubwa watamu sana?! Service na Mechi zao hawa umri wetu watasubiri miaka 1000, labda wakachukue twishen kwao. We haujiulizi kwanini Diamond Platnumz hachomoki kwa Zari?!
Me naomba nisaidie Da Penny maana na wewe ni umri huo huo nipe maujanja ya kumpata yule demu basi
Me nikasema du ngumu kumeza
Basi akina SHILAWADU wana JF msaidieini dogoo mpeni ramani maana me nahisi dogo atakuwa anakula sembe na sijui kautoa wapi maana si wameuzuia?!