Emergency: Anahitajika Sponsor

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,688
17,107
Ila wabongo jaman basi tu ngoja tunyooke kwanza

Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu

Mara mtu akadondoka inbobo, oh Aunty Penny naomba msaada wako

Penny: nambie mami

Mtu: aunty penny nilikuwa na shida samahani kama nitakuwa nakukosea, nina shida ya kupata sponsor

Penny: sponsor huyu vepee una maana gani?! ( hapo nimeshamwelewa basi tu nazuga)

Mtu: mtu wa kunipa raha na nini alafu awe ananipa na hela, maana nimechoka kukimbizwa na hawa vijana wadogo wanakuchooosha alafu unaondoka na buku 2, yote inaishia njiani nashindwa hata kununua sabuni ya kuogea

Aunty Penny: kha! Mdogowangu una miaka mingap?! Umesoma mpaka wapi

Mtu: 20 aunty, nimeishia kidato cha nne

Aunty Pennny: si urudi shule mami ukaendelee na masomo, hawa wanaume wana karaa

Mtu: ah me shule ishanishinda Aunty wangu, sa hivi nawaza mechi tu hamna material itapanda kichwani

Aunty Penny: du pole sana, lakini unajua me siuzi watu sina danguro

Mtu: najua aunty penny lakini navyokuona na stori zako unazoandika naamini unajuana na vibopa we ukipata mtu niunge nae, nataka mtu mzima kwenye 45 na kuendelea

Aunty Penny: mami hao wote unaowataja wameshaoa sasa itakuwaje namna hii?!

Mtu: me sina neno we walete tu, namba yangu 071. ... ...

Aunty Penny: sawa mdogowangu ila dah we mdogo sana kuchezea msambwanda nakushauri usome kwanza. Dah skudanganyi roho iliniuma sana mtu anatelekeza elimu kwa dushe?! Kiru shetani shindwaaaa shindwaaaa!

Kweli tumenyoooshwa, Masponsor kwani waliendaga wapi mbona wanasakwa hivi?! The struggle is real mtaani ee?! Hela hamna ee?!

Kama unamjua sponsor yoyote tumsaidie mdogo wetu maana sikio la kufa halisikii dawaaa

 
aya ngoja nione kama tapata nafasi ya kumuweka sema tatizo kuwa namba yake imeanzia na 071** sasa hilo si jipu hilo
 
Ngoja waje.
Mambo best mzima?!

Masponsor walikuwepo enzi za JK sasa hivi kwa awamu hii sijui kama wapo..

Anyways Ngoja waje
Ahahaha kweli kabisa wengine walishafunga virago wakarudi kwao

Wanatia huruma sana...sana sanaa.... Juzi kuna dem kanipiga mzinga..."naomba 90"....

Nikaenda flight mode.. Nilihisi kizunguzungu.

Walime mchicha, magimbi.. Giza limetanda.
Umeona ee yani me niliskia vbaya sana ukiangalia ni mwanamke mwenzangu hana direction roho ilizidi kuuma

aya ngoja nione kama tapata nafasi ya kumuweka sema tatizo kuwa namba yake imeanzia na 071** sasa hilo si jipu hilo
Mmmh Mungu anakuonaa

Nimejikuta nacheka kwa sauti asee
Pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom