Shule hii Mbeya iko wapi?

Mm nimekuwepo enzi sa kisusange, akaja bwana mmoja anaitwa Mgaya na baadae akaja Mng'ong'o.

Iyunga is good place kwa kweli
Hahaha...umenikumbusha mzee, Kabisa alipotoka Kisusange, aliKaimu Asesisye...alipohamishwa, akaletwa Mgaya.

Then, Mgaya akateuliwa kuwa Afisa Elimu. Ndo akashika usukani Maximo.

Daah! Mgaya alikuwa bonge la Mkuu wa Shule na aliikuta shule ipo kweny mtafaruku.

Mgay anakumbuka siku moja tupo Assembly akanukuu maneno ya bob Marley
ule wa One Blood...hahaha
 
Acha kabisa. Nilikuwa na mitambo miwili nilikuwa nachesha mahindi tuuu. Ukiingia Bweni la Luthuli darini kuna mabunzi ya mahindi kama gunia 10 hivi. Nilikuwa naiba mahindi mashamba ya barabarani jirani na uwanja wa basket
Haaha
 
Wakati Nipo Form 4 bweni la mkapa likiungua. Dispensary ilihamishiwa hapa shaban robert
Siku hizi kuna bweni la Mkapa? Mimi kitambo nilitoka kulikuwa hamna bweni nilikuwa linaitwa mkapa kati haya ni lipi bweni limebadilishwa linaitwa mkapa? Mgabe,Lumumba,kawawa, S.Robert,Luthuli majina mawili ya bweni nimesahau moja karibu na mgabe kama unaelekea s,Robert na lingine opposite na kawawa.
 
Lipo kule nyuma karibu na Luthuli. Lina chemba ndogondogo hakuna bangaloo
 
Watu hawabishani. Huu uzi umebadirika. Now umekuwa Iyunga Tech. Sec. School
Hahhahah...Shule yetu Iyunga ya Ufundi, ipo katika Mkoa wa Mbeya, Magharibi mwa jiji la Mbeya

Elimu ya Iyunga, ya kisasaaa, ya Kitanzania, kuiendeleeza ni Daiima

Miradi yetu,mafao yetu..Twaifanya pasipo kinyongo
...Umoja wetu twaudumisha
 
Asante sana kwa huuu wimbo
 
Mkapa ni bweni lipo nyuma ya Luthuli. Kama unaweza kuvuta picha, kuna jengo lilikuwa kule Karibu na Luthuli.

Pia kuna jengo jipya lilijengwa mbele ya Luthuli, linatizamana na mlango wa Luthuli...Lile niliondoka lilikuwa bado halijaanza kutumika.
 
Nakumbuka jamaa alikula bila kulipa,chezea dona na ndondo la Iyunga mtu alijitoa ufahamu buana.
 
Mkapa ni bweni lipo nyuma ya Luthuli. Kama unaweza kuvuta picha, kuna jengo lilikuwa kule Karibu na Luthuli.

Pia kuna jengo jipya lilijengwa mbele ya Luthuli, linatizamana na mlango wa Luthuli...Lile niliondoka lilikuwa bado halijaanza kutumika.
OK mpaka naondoka kulikuwa hamna jengo lolote jipya linajengwa.
 
Hahahahahah mgaya nilitokea kumpenda sana yule kuliku hata kisu .

Very fine person

Leaving yangu alisaini yeye

Nakumbuka msemo wa mmoja "a fool is a fool" kwa lafudhi yake utacheka hadi basi
 
Mkapa liko luthuli kule

Alikuwa anakaa mama typist zamani
 
Hahahahahah mgaya nilitokea kumpenda sana yule kuliku hata kisu .

Very fine person

Leaving yangu alisaini yeye

Nakumbuka msemo wa mmoja "a fool is a fool" kwa lafudhi yake utacheka hadi basi
Hahahaha...na Zile Sharubu zake...hahha yule mzee alikuwa safuli kabisa, ingawaje alikaa muda mchache sana...Nakumbuka alivyotuaga, tulikula nyali siku ile...hahahha.

Nasikia jamaa bado Afisa Elimu Mbozi huko.
 
Bila shaka ulimaliza 2008 au 2009
Hahahahahah mgaya nilitokea kumpenda sana yule kuliku hata kisu .

Very fine person

Leaving yangu alisaini yeye

Nakumbuka msemo wa mmoja "a fool is a fool" kwa lafudhi yake utacheka hadi basi
 
Yes aliondoka kipindi kile elimu msingi na elimu sekondari zinatenganishwa. Soo afisa elimu walikuwa wanatafutwa sana.

Na mshangama nae nasikia bado yupo mbozi huko. Ila mwakambinda ndio alifariki
Hahahaha...na Zile Sharubu zake...hahha yule mzee alikuwa safuli kabisa, ingawaje alikaa muda mchache sana...Nakumbuka alivyotuaga, tulikula nyali siku ile...hahahha.

Nasikia jamaa bado Afisa Elimu Mbozi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…