Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,049
Ndiyo mawazo ya watanzania wengi yani utashangaaKwa hivyo kukiwa na tatizo sehemu likimbiwe na siyo kutatuliwa?
Ndiyo mawazo ya watanzania wengi yani utashangaaKwa hivyo kukiwa na tatizo sehemu likimbiwe na siyo kutatuliwa?
Kauli kama hizi huwezi kuzisikia kwa Magu , Mkapa , Mwinyi , n.k kuzisema mtandaoni kwasababu wanajua kitu wanachokipata wanae ili waje kukuongoza wewe unaekuja kulialia hapa mitandaoni.Wahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??
Yaani mzazi analazimika kulipa fedha karibu mara 2 ya ada ya kawaida ya mwaka, mfano mathalani ada ni 1,500,000/= unalazimika kulipia 2,500,000/= kwa darasa la 4&7 hii imekuwa kawaida tu na wasimamizi wa elimu mnaliona hili. Elimu ya msingi ya Tanzania inakuwa hovyo sana na wasimamizi wanaangalia tu.
Natamani kusikia tamko la hili kama ni halali ama la kutokana na muongozo wa Wizara na sera zake zinazohusu sekta ya elimu.
Nawasilisha....
Kwahiyo watu wakiwa na malalamiko wasiseme kisa private?Hamisha mwanao mpeleke kwingine kelele za nini kwani umelazimishwa kusomesha private?
Kwa hivyo kukiwa na tatizo sehemu likimbiwe na siyo kutatuliwa?
Elimu ya kutafuta 'A'Wahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??
Yaani mzazi analazimika kulipa fedha karibu mara 2 ya ada ya kawaida ya mwaka, mfano mathalani ada ni 1,500,000/= unalazimika kulipia 2,500,000/= kwa darasa la 4&7 hii imekuwa kawaida tu na wasimamizi wa elimu mnaliona hili. Elimu ya msingi ya Tanzania inakuwa hovyo sana na wasimamizi wanaangalia tu.
Natamani kusikia tamko la hili kama ni halali ama la kutokana na muongozo wa Wizara na sera zake zinazohusu sekta ya elimu.
Nawasilisha....
Issue si kipato bali uhalali wa malipo. Kama unalipa tu kila bili inayoletwa kwako, then hujui ku manage kipato chako.Tatizo lako kipato chako kidogo
Hiyo shule sio Saizi ya kipato chako Hamisha mwanao mpeleke kwenye Saizi ya kipato chako
Taratibu za shule zifuatwe na kila Mzazi aliyekubali kwa hiari yake kumsomesha mwanae shule binafsi wakati shule za serikali zimesambaa kila kona na gharama ni bure kwa mzazi.Wahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??
Yaani mzazi analazimika kulipa fedha karibu mara 2 ya ada ya kawaida ya mwaka, mfano mathalani ada ni 1,500,000/= unalazimika kulipia 2,500,000/= kwa darasa la 4&7 hii imekuwa kawaida tu na wasimamizi wa elimu mnaliona hili. Elimu ya msingi ya Tanzania inakuwa hovyo sana na wasimamizi wanaangalia tu.
Natamani kusikia tamko la hili kama ni halali ama la kutokana na muongozo wa Wizara na sera zake zinazohusu sekta ya elimu.
Nawasilisha....
Kumbuka akienda bweni gharama zinaongezeka....kulala umeme kula na maji n.k na wanasoma sometime usiku. Me wangu nilipambana nao la nne hakwenda alikuwa day tu but wao wana hoja zao kuwa wakiwa boarder watasoma vzr lakkni la nne me sikutaka mtoto wangu alikuwa bado hajajuaaa sana kujitegemea kama kufua vitu vidogo vidogo. But ada sio big deal sana mkuuu 2.5m kwa private hela ya kawaida. La saba me nitaruhusu aende boda....maana atakuwa anajua kujitegemea na baadhi ya maambo amekuwa muelewaaa. Broooo elimu ya private ni gharama kama vipi hela imekata mrudishe serikalini then mtafutie tuition au walimu hao hao wa private waje home...kuna jamaa yangu ye kafanya hivyoOkay lakini jaribu tena ku-revisit post yako kwa kuangalia vipengele hivi;
1-"Elimu ya Msingi" kwamba ni lazima aipate
2- Darasa la 4&7
3- Ada kupanda 1,500,000/=>>>>2,500,000/=
But be critical to the argument, from local to global....
Tatizo la watu wazima na wengine wasomi kushindwa kufikiri na kutoa majibu yenye mashiko limetokana na nini? Mfumo mbovu na kukariri madesa,wamezoea wizi na uongo,hawana tena uwezo wa kufikiri.Wengi wanaongea lugha moja ya kipumbavu na kuwaza ngono,haya aliyatabiri Ngugi wa Thiong'o katika Devil on the Cross.Issue si kipato bali uhalali wa malipo. Kama unalipa tu kila bili inayoletwa kwako, then hujui ku manage kipato chako.
Dawa ya tatizo kutatua sio kuacha bhn wwHamisha mwanao mpeleke kwingine kelele za nini kwani umelazimishwa kusomesha private?
Nimetamani sana nikutane nawe Pendo, lakini kwa kina inahitajika mjadala wenye maslahi ya elimu kwa taifa letu. Endelea kutafakari.....Hapa unaangalia gharama ama huduma anazopata mtoto na ni reasonable? To me that fee is very fair tena imekua cheap. Sitaki kulinganisha na akina FEZA. Yaan ni cheap. Huhawaza malazi, chakula, tuition kama watahiniwa maana ni nje ya mtaala, kuna matumizi ya mahi, umeme, miundombinu kutumika. Umefikiria hayo kabla ya kulalamika? And yes, kwani wamevunja sheria gani hapo? Jamani.. watu munajua kweli gharama za kurun mashule tena bweni? Yaan that 1m is more than fair. Na hapo mbona ni madarasa mawili tu na wala hayafuatani. Ama umeambiwa asome miaka yote bweni? Faida anaipata mwanao ama mwenye shule?
Kama unaona Elimu ni gharama jaribu ujinga.
Yawezekana mambo hayahaenda poa kwako kwa sasa. Naamini kwa Imani yangu utaafford kumlipia na atamaliza. Na atarudi day. Ukiona hujaridhika nenda shuleni kaombe mchanganuo wa hiyo gharama. Ukaona huwezi pia basi muhamishie shule nyingine ambayo hawajaweka sharti la bweni ambayo ada kidogo. Zipo nyingi tu ijapokua utakua unasumbua ukuaji na ustawi wa Elimu ya mtoto kwa kumuhamisha hamisha...
All the bests to the kid
Kigezo Kinachotumika Hapo Utasikia Ni Kwasababu Ni Madarasa Ya Mtihani , Kwa Mtoto Wa Darasa la Nne , Sasa si Waamue Kabisa iwe Shule Ya Bweni, Utakuta Watoto Wanapelekwa na Bodaboda Asubuhi na Mapema ili tu Kuwahi huo Utaratibu na Je wanaenda Kufanya Nini Kwamba Kweli mda Wa kawaida kuanzia Saa 7:30 Hadi Saa 4:00 hautoshi ?Wahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??
Yaani mzazi analazimika kulipa fedha karibu mara 2 ya ada ya kawaida ya mwaka, mfano mathalani ada ni 1,500,000/= unalazimika kulipia 2,500,000/= kwa darasa la 4&7 hii imekuwa kawaida tu na wasimamizi wa elimu mnaliona hili. Elimu ya msingi ya Tanzania inakuwa hovyo sana na wasimamizi wanaangalia tu.
Natamani kusikia tamko la hili kama ni halali ama la kutokana na muongozo wa Wizara na sera zake zinazohusu sekta ya elimu.
Nawasilisha....
Kwa Hivyo wanafunzi wanaolala bweni wana ufaulu bora kuliko wale wanaolala nyumbani?Sasa ndugu, hilo linakuaje tatizo wakati shule zinafanya hivo ili wanafunzi wawe na ufaulu mzuri?
Wazazi wanaosomesha watoto private schools hawana tatizo na hilo. Isipokuwa wewe ndiye mwenye tatizo. Watu wanatafuta elimu bora , kama hutaki wa kwako awe day schoolerWahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??